hapo kwenye red nafikiri walikua wanafanya kazi ngumu mda mwingi mkuu sahihisho tu.Nelson Mandela anatimiza miaka 20 (11/02/2010)tangu aachiliwe kutoka katika Gereza alikotumiakia kwa mia ka 27!
Picha ya chumba(cell) cha Mandela akiwa Robben Island.
Hapo chumbani kuna vifaa 4 tu;
-Pa kulala, kitanda?/Kirago?
-Stuli ndogo
-Debe
-Sahani na kikombe!
Je, unalinganishaje umri alio nao huyu mzee hadi sasa(miaka karibu 91), na mateso haya aliyoyapata kwamiaka hiyo yote?
-Je Huenda mateso yale yalimkomaza mwili sana na akawa fit?
-Au kukaa bila kufanya kazi kwa muda mwingi kunasababisha mtu aishi zaidi, maana mwili unakuwa haukutumika?
-Ni nini siri ya umri mwingi wa mzee huyu?
Eee Mungu mbariki mzee huyu mwenye heshima na hekima, aishi miongo kadha mingine!
Eee Mungu mbariki mzee huyu mwenye heshima na hekima, aishi miongo kadha mingine!
uvumilivu ndio msingi ya hayo maswali yote dia,alivumilia na kamwe hakukata tamaa
Pearl, unamaanisha ukiwa mvumilivu sana utajaliwa umri?
Je uvumilie hasa mambo yepi?
Pearl, unamaanisha ukiwa mvumilivu sana utajaliwa umri?
Je uvumilie hasa mambo yepi?
maisha marefu na mafupi yote ni zawadi na mapenzi yake Mungu.
kumbuka si wote wapigao mbio sana hupata taji.......................
mmeanza...........bila hata aibu!!!!!!!!!!!
tumeanza nn?
tumeanza nn?
AK kwa mara ya kwanza sioni sabau ya kutokukuunga mkono!!! maisha kweli ni tunu tu ya Mwenyezi Mungu!!!
yah nimeweka rangi,naikubali hoja yako kama ulivyosema kwakweli maana naona pia kama watu wenye hekima mara nyingi huishi muda mrefu sana wala si uongo,tatizo ninachojiuliza sasa ni je tutaendelea kupata watu wenye hekima kama hawa na wengineo tena?maana naona kadri siku zinavyokwenda maadili yanazidi kuponyoka kwa kasi kubwa;mfano tu rejea hapohapo south na kwa rafiki mkubwa wa mandelabold yako haionyeshi mkuu, labda ungepaka rangi!
Mandela hapo ndo alipolala,maskini babu wa watu pamoja na mateso ila alivyotoka jela hakuwafukuza wazungu.Mungu mpe maisha marefu Nelson Mandela
asante mpendwa kwa kuniunga mkono. mbona wengi tu siku hizi wameishavumbua hazina kubwa ya hekima niliyojaaliwa? tatizo mwanzoni atu walikuwa wanasoma maoni yangu bila kuyatafakari!
any way thanks and God bless you