Nimeamini watz wengi ni vichaa!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,175
56,767
Msanii yupo jukwaani halafu anauliza "Oya Machizi vipi...?!!"
sasa sikia mashabiki wanavyojibu et ni fresh tu!!
msanii anahoji tena "machizi mko poa..?!!"
sasa mashabiki kwa yowe la kutosha wanajibu tuko poaaaa!!! jamani jamani jamani kweli hii nchi si ya mchezo mchezo
 
Si vichaa tu bali ni washamba pia. Ona dada zetu, wakisikia tu kuwa jamaa fulani ni foreigner basi wanampapatikia kinoma bila hata kujuwa ukweli wa jamaa.
 
Msanii yupo jukwaani halafu anauliza "Oya Machizi vipi...?!!"
sasa sikia mashabiki wanavyojibu et ni fresh tu!!
msanii anahoji tena "machizi mko poa..?!!"
sasa mashabiki kwa yowe la kutosha wanajibu tuko poaaaa!!! jamani jamani jamani kweli hii nchi si ya mchezo mchezo
watz hawatakagi ujinga
 
Hii ina ukweli, wewe sikiliza tu radio zao za Clouds FM na hizi zingine za kishikaji na watangazi wao, yaani watangazaji wengi humo hawajitambui na wanaongea vitu ambavyo havieleweki. Mtu anaishi Tanzania na asilimia kubwa ya wasikilizaji wake ni waswahili tena wasiojuwa Kiingereza, utashangaa kichaa (dj) anakuja na kuongea kiingereza kwa watanzania (wasikilizaji/vichaa wenzake) wasioelewa anaongea nini huku wakicheka na kufurahi kwa kumuiga anavyo ongea lakini hawaelewi anaongea nini. Hiii nchi bwana.
 
na wana mkimbiza

Si umeona enheee, ebu tizama tamasha la Fiesta lina umuhimu gani kwa watanzania? Vichaa wanapandishwa dala dala kwenda mikoani kuwatoa watu wazimu. Furaha yao ni ahadi ya kuchezewa nyimbo zao redioni na wakikataa tu wanatoswa na hatimaye kupotea kuigiza nyimbo za mataifa ya watu.
 
Mbaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom