Nimeamini Wanawake hawaelewi wanataka kitu gani

Nimeamini Wanawake hawaelewi wanataka kitu gani

Hivi pesa mnatafuta saa ngapi nyie? hadi mnapata muda wa kudiscuss mambo ya watu, msije kuleta uzi mwingine mmekimbiwa sababu hamna pesa.🤔

Kuna wengine wanatafuta namna ya kutumia pesa walizo nazo, financial services !!! Hii dunia iache ilivyo tuu, wengine wako, as it were, Paradiso duniani. Dunia ni kubwa ujue! 🙂
 
Kuna wengine wanatafuta namna ya kutumia pesa walizo nazo, financial services !!! Hii dunia iache ilivyo tuu, wengine wako, as it were, Paradiso duniani. Dunia ni kubwa ujue! 🙂
Aisee kweli dunia ni jungu kubwa kila mtu anachukua kinachomfaa, wengine tukiwa tunawaza kutafuta pesa na hazipatikani kuna wengine wanawaza jinsi ya kuzitumia tu🤔😒
 
Ngoja waje wanawake ambao hawatosheki, wakutolee povu
 
Wanaume wanoko nyie yaani badala ya kutafta pesa mnatafta maisha ya watu.

Si ajabu hapo mlipo mnaishi kwa shemeji zenu
 
Wanaume mnpta wapi muda wa kudscuss mamb y family zingne shenz type
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom