Nimeamini Wanawake hawaelewi wanataka kitu gani

Nimeamini Wanawake hawaelewi wanataka kitu gani

Magari damu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
444
Reaction score
779
Habari zenu wakuu

Ule usemi wa kwamba mwanamke haelewi kitu anachokitaka hasa kwa mwanaume unazidi kuzaa facts zaidi.

Ebwana eh huyu dem yani ni anapewa kila kitu na jamaa ake. Unajua kila kitu? Na hapo sahivi yuko anajenga nyumba kwa ajili ya wao kuishi. Dah ila dem wala hata haelewi yani, ndo kwaanzaa kashikana vilivyo na ex wake...sasa sijui jamaa atakua hamnjunji vizuri au laah.

Imetokea siku chache zilizopita maana ni mshkaji wangu ndo uyo dem anamtaka, nimekuja kupata details leo bhna.

Mwanamke kweli ni mwanamke asee. I rest my case!
20210314_010933.jpg
 
Huu umbea ni wa uchumi wa kati.. [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hivi pesa mnatafuta saa ngapi nyie? hadi mnapata muda wa kudiscuss mambo ya watu, msije kuleta uzi mwingine mmekimbiwa sababu hamna pesa.🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom