Nimeamini wana mwanza mna upendo wa dhati

charminglady niko full bado niko chimbo ila nataka nirudi jijini weekend...andaeni chamaki mkubwa km nyumba

Dogo uje na pande hii ya ToraBora biashara ya kokoto na vyuma chakavu inalipa.

Ukishindwa nenda Tanga, Mwanza cha mtoto. Chuda Raha!!!
 
Last edited by a moderator:
hee Kipipi nani kakwambia siku hizi uchawi una mwenyewe? fyi kuna mkoa flani ndo unaongoza kwa hii makitu. ngoja nikutupie link
[link]Biashara ya uchawi Tanzania[/link]

Yaani mie sijawahi kwenda kijijini usukumani, nikaondoka bila tukio la uchawi kutokea! Hata hivyo simaanishi kuwa wasukuma ndo vinara coz mi sina facts!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa Kipipi uandae mashamba? Lol hebu fanya mpango uje mwanza weekend aisee

Ndio bwana mdogo naandaa mashamba, nikiyaacha tutakula wapi ndugu? Alafu nauli ya kuja mjini siku hizi imepanda hadi 4000, labda mpaka nipate mteja nimuuzie hizi kuni zangu nilizokusanya ndo nitakuja!
 
Last edited by a moderator:
Niko pouwa..................nitakuzukia mchana lunch at GoldCrest.........lol...............utalipa......lol

duh, pole kipenzi. sikuiona hii post. bt mchana nilikuwa na mishe mishe ya ku-clear bills si wajua tena mambo ya mwisho wa mwezi! btw muda sio mrefu ntakuwa kitaa, w-end ndo hiyo ishaanza. . . nicheck level 8 GC by 1930hrs!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…