hahaaaaaa watu 8 naona una yako ww me mwenyewe m2 wa tanga tena makorora wadekaaaaaaa
Huwa naomba mtoto wangu mmoja aolewe na msukuma! Mwenye hofu ya MUNGU, lol!
Arushaone umenishtua aisee dah hapa sisemi neno. Halafu hawa jamaa huwa hawapatikani ukimwambia umerudi mwanza atasema yuko geita hata km yuko town. Vp kwema chuga?
C6 najua huna raha ila nakutaarifu tu kuwa kuanzia saa 9 alasiri mi ntakuwa naitwa Cb52 naomba wajulishe wote.ukistaajabu ya Erickb52 utaona ya Duzente Siqwente.
mbona unanitamanisha kwenda mwanza Duzente Siqwente? mi huwa napenda sana watu wakarimuKaribuni wana jamvi napata ugali na samaki mkuubwaa sana nimealikwa rafiki yangu hapa kirumba ama kweli wana mwanza mna upendo na ukarim kwa wageni
ni kweli kabisa muyasemayo
Ntard mwnza kesho niko ukerewe kdgo nmekuja kutembea
Arushaone umenishtua aisee dah hapa sisemi neno. Halafu hawa jamaa huwa hawapatikani ukimwambia umerudi mwanza atasema yuko geita hata km yuko town. Vp kwema chuga?
safi sana, uliza sifa ya kwanza ya msukuma. utaambiwa ni ukarimu,kweli tumejaaliwa ukarimu na upendo kwa wageni hasa upande wa maakuli. . . . karibu tena na karibuni mwanza wageni kwa wenyeji!