Minorities!!Each and every thing you know about his legacy wether its good or bad. The chapter is closed and won't be erased regardless there are minorites dislike him.
MWazo yangu ni yapi? Kwamba Caligula anasemwa mpaka leo?Hayo ni mawazo yako na ni sawa kuwaza hivyo sababu sio mara zote watu hukubaliana
Ila ujue tuu 5% ya watanzania ndio wanaamini kwenye hayo uliyoandika. 10% ni wasikilizaji na 85% wanaamini JPM amekua kiongozi bora kuwahi kutokea
Kama kutajwa tajwa midimoni mwa watu ndio kuacha Legacy basi Farao (Firauni) wa Misri atakua aliacha LEGACY kubwa sana duniani ukiachana na maPYRAMID waliyoyajenga kuna mpaka baadhi ya matendo leo hii mtu akiyatenda yanaitwa ya kifarauniJPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini
Kama kutajwa tajwa midimoni mwa watu ndio kuacha Legacy basi Farao (Firauni) wa Misri atakua aliacha LEGACY kubwa sana duniani ukiachana na maPYRAMID waliyoyajenga kuna mpaka baadhi ya matendo leo hii mtu akiyatenda yanaitwa ya kifarauni
Ipo wazi dhahiri shahiri kuwa viongozi wooote wandamizi, mawaziri, maRC, maDC woote hakuna hata mmoja alikua anafurahishwa na mambo ya MAGUFULI kwa sababu woote hao whether wapo kwenye uongozi au hawapo, mara baada ya MAGU kufa leo hii wanaanza kuhoji nankushangazwa na yale waliyo kuwa wanayahubiri
LEGACY my Ass Mxieusssszzzz!!!
Idi Amini pia kaacha legacy
Hitler pia kaacha legacy
Ni kijukuu chao Kimagufuli pia kimeacha legacy
Namaanisha:
Legacy ni mambo mema na mabaya,
Mfano: kujenga Uwanja wa ndege kijijini kwa kiongozi ni legacy
Na kumwua Ben Saanane na kula nyama yake pia ni legacy
Mitandao 1.3 millioni hawakushangazi
Ila unashangazwa na watu wawili au watatu unaokutana nao mtaani, interesting!
Nani amesema Bushiri looser?Kwanini unamwita Bushiri looser?
Huh??? 🤣🤣This is forum than is free of opinions i dont think it fare start calling people names than sharing your intellectual views if you will. Actualy I have not seen the connection between those abusive names and the few irrelevant linguistic symbols you have just wrote above. Try to be rational. Thanks
Kwa mtu aliyekwisha kufa na kuzikwa, hakika bado amezitawala fikra zenu!
Manake mmeshindwa kabisa kumzika ndani ya hizo fikra zenu duni mlizonazo.
Kila kona Magufuli ndo gumzo!
Hata wewe uko brainwashed!Jiwe brainwashed the majority of the Tanzanian population!!! The Nation became a CULT! Nchi ilifika mahala Jiwe angewaambia waonje sumu wangeonja!!!
Hata wewe uko brainwashed!
We ndo mke wa mtu. Unataka nami nikufanye uwe mke wangu? Bahati mbaya situmii bunyero 😄Kama wewe hao wazungu wako walivyokufanya kwa kukupa hizo hela za bure bila kufanya kazi!! Umeolewa!!!
We ndo mke wa mtu. Unataka nami nikufanye uwe mke wangu? Bahati mbaya situmii bunyero 😄
And you are somebody’s wife. You already wasted your time shopping for JF peen 🤣🤣.You are on welfare so I cannot waste any time with you!!
Nimeona mengi kuanzia kwa RC Hadi Mawaziri hakuna anayemkumbuka tena zaidi hata yale aliyoyafanya wakawa wanayahubiri kumbe na wao yaliwachosha
Kumbe hakuna hata mmoja aliyapenda matendo yake labda Ole Sabaya
Minorities!!
Anyway that's your opinion
Ngoja nikamwambie mama Samoa haraka sana.Nimeona mengi kuanzia kwa RC Hadi Mawaziri hakuna anayemkumbuka tena zaidi hata yale aliyoyafanya wakawa wanayahubiri kumbe na wao yaliwachosha
Kumbe hakuna hata mmoja aliyapenda matendo yake labda Ole Sabaya