Hakika legacy ya jpm zote ya mazuri na mabaya hayatafutika Tanzania na huwezi mkumbuka jpm kwa mazuri tu lazma ukumbuke mabaya maana yalitikisa yani ukimuona magu lazma umwone lissu na ukimuona lissu lazma umuone magu. Lissu is a living exampleJPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao.... Maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini
Huyu alikuwa Rais wa nchi sio kibaka wa Keko..utawala wake unaweza kuna na athari(-) vizazi na vizazi..mfano mmoja ni huu uamuzi wake wa kuruhusu watu kufanya biashara eneo lolote bila kusumbuliwa.Kwa mtu aliyekwisha kufa na kuzikwa, hakika bado amezitawala fikra zenu!
Manake mmeshindwa kabisa kumzika ndani ya hizo fikra zenu duni mlizonazo.
Kila kona Magufuli ndo gumzo!
Sucka bytches.
Kutajwa tajwa siyo ishu. Hata mzee Adolf Hitler anatajwatajwa.JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao.... Maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini😂😂😂
Mimi natamani hata akifika mbinguni afe tena. Natulijia zile zilikuwa mbio za sakafuni mwisho wake tuliujua.Kwa mtu aliyekwisha kufa na kuzikwa, hakika bado amezitawala fikra zenu!
Manake mmeshindwa kabisa kumzika ndani ya hizo fikra zenu duni mlizonazo.
Kila kona Magufuli ndo gumzo!
Sucka bytches.
Nimeona mengi kuanzia kwa RC Hadi Mawaziri hakuna anayemkumbuka tena zaidi hata yale aliyoyafanya wakawa wanayahubiri kumbe na wao yaliwachosha!
Kumbe hakuna hata mmoja aliyapenda matendo yake labda Ole Sabaya!