Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

Nakumbuka kupitia vyombo vya habari tulijulishwa Tanesco wako ktk hatua za mwisho kuunganisha gesi ili umeme kukatika iwe ni historia, lakini hilo limeshindikana, sijui tatizo gani tena. Hatuna umeme muda mwingi mchana na usiku. Tanesco toeni taarifa yenye uhakika.

Wanadanganya gas ya mtwara wakati wameshachakachua mradi na hela wamekula, gas ya mtwara haiwezi kufika Dar es Salaam leo
 
hili sasa ni janga la taifa. Halafu tuichague ccm? Watu wale wale, mfumo ule ule. Akili zile zile, utendaji ule ule!

Hapa Hapana mabadiliko haya hepukiki mwaka uhu.
 
Ndiyo walivyoumbwa kusema uongo, kwa hiyo waache tu kwa maana hakuna namna nyingine ya kuwabadilisha
 
ulichokiongea braza ni kweli hata hapa nyakato mwanza ikifika tu saa mbili mda wa taarifa ya habari wanakata umeme taarifa ikiisha umeme unarudi
hii ngoma iko kisiasa zaidi
 
Mkatiwe tu ninyi kwa nini? Huku nilipo umeme mda wote upo hata walivyokua kwenye matengenezo tunawashukuru Tanesco kwa kutokata umeme kabisa.

Weeee!weeee! tema mate chini?Uchuro huo mie niliwahi kumbeza mtu wa ukonga humu haikupita hata masaa mawili wakakata ukaja kurudi baada ya masaa kumi na mawili.
 
Hakuna kitu kibaya kupita vyote duniani pale wataalam wanapojeuka wasanii yaani ni majanga dabari dabaring.
 
Kununua solar maana yake nini.
Kununua sora mkuu alikuwa na maana ya kuacha mazoea ya kung,ang,ania kitu kisichofaa kwa hiyo ufanye mabadiriko​ ununue kitu kipya na nitafanya hivyo tarehe 25/10 kwa kuibwaga CCM
 
Hicho kisingizio cha kuleta mitambo ya gesi na tukione,maana mimi nimechoshwa na hii hali
 
Tatizo la umeme lina sura ya kisiasa zaidi kuliko utalaam. Maeneo ya Pugu hadi Chanika tatizo hili ni la muda mrefu sana, lilianzia mwezi Machi 2015 kwa wiki tunapata umeme mara mbili na kwa masaa machache. Mafundi wa tanesco wanasema wapo kwenye mchakato wa kuunganisha laini inayoleta umeme maeneo yetu na mitambo mpya ya Kinyerezi.

Ukweli ni kwamba, baada ya mpango wa serikali kupeleka umeme vijijini kukamilika kwa kiasi fulani, tanesco wamelazimishwa kupeleka umeme vijiji vyote ambavyo ujenzi wa laini umekamilika, wakati wanalazimishwa vituo vinavyozalisha umeme kwa sasa havina uwezo kabisa wa kutosheleza mahitaji makubwa ya umeme uliojitokeza, hivyo basi kinachofanyika ni kuzima umeme maeneno ya mijini na kupeleka vijijini ili kuwafurahisha watu wa huko kama kichocheo cha kupata kura zao.

Bila ya mtambo wa Kinyerezi kuanza kuzalisha umeme tatizo la umeme nchini ni la kudumu.
 
Tuandamane kama Brazil.
Wao bei ya mkate ilipanda wote wakaingia barabarani
 
wanaudhi kwa sababu wanaonyesha dhahiri kuwa wanachanganya mambo ya msingi na siasa
 
Nipo Tunduma umeme unakuwepo usiku tu, mchana hamna .

Mimi nina muda mrefu sijaona mwanga wa umeme. Unakatika alfajiri kabla sijaamka halafu unawaka saa sita usiku wakati nimelala.
 
Back
Top Bottom