Nyumbu ni ccm nchi haina maendeleo hadi Leo wamekalia kukariri Akili za akina Nape na January na sasa wote wamenunuliwa na Lugumi Kitwanga .Nyumbu ktk ubora wao
Nyumbu ni ccm nchi haina maendeleo hadi Leo wamekalia kukariri Akili za akina Nape na January na sasa wote wamenunuliwa na Lugumi Kitwanga .Nyumbu ktk ubora wao
Wewe unachojua ni kuzungukia kwa Lugumi, escrow, mabehewa mabovu, kivuko feki, Chenji ya Rada na ya Bunge la katiba , bomba la Gesi , vibali vya sukari kutafuna pesa kisha umejitoa Fahamu na kuona huko ccm hakuna Dhambi ?Mkuu Ukawa ni vichwa maji,wanakijua wao ni kuzungusha mikono tu.
Nyumbu hao. Watakufa kwa kihoro. Hapa kazi tu.Hahaha,waskaa Tonge
Ila sema wengi wa mambo haya Wapo Dar,mikoani waliisha sahau wanapiga kazi tu
Maana after 5 yrs wengi humu wazee,so lazima ukubali tu usipokubali tafuta nchi ya kwenda kuishi.
Ukijua neno UPINZANI basi hata hupati shida,maana mpinzani hata ukimuambia baba yake mwanaume atasema hapana,hahaha UKAWA ni sheeda
Kwani hayo unayoita madudu yametokana na utawala wa serikali ya chama gani? mbona mnakuwa wasaulifu?Kwahiyo wewe unamtambua LOWASSA au? unadhani kwa style hii lowassa angefanya nini, Tusilete ushabiki wa mpira kwenye maisha ya watu, hadi sasa wafanyakazi hewa elfu 7600. bado unapinga unataka ufanyiwe nini? Huyo KABWE kaharibu mbeya akaondolewa, akaharibu MWANZA napo akaondolewa na kuletwa DAR, huku nako kaharibu,,.sasa anatumbuliwa UNALALAMIKA, hivi nchi hii kwani hakuna wengine wa kuwatumikia wanachi? Ukipinga utumbuaji huu basi wewe hujawahi pata huduma katika ofisi za umma ukaona madudu yao.
Kilaza wewe.. Hata idd amini alifanya maamuzi yaliyo wafurahisha waganda.. Mbowe na ukawa wana hoja ya msingi.Habari zenu wanajamii,
Kiukweli mimi nimekuwa nafuatilia sana utendaji wa Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe magufuli, kiukweli anayotekeleza ni kama alikuwemo kweme moyo wangu, anatekeleza yale yote ya ukawa kama ukawa ilikusudia kuyafanya endapo ingechaguliwa.
Cha kushangaza na kinachonikera ni vile baadhi ya viongozi wa ukawa wanavyoponda uwajibikaji huu, inaniuma sana ninapoona kiongozi wa ukawa anasimama hadharani na kupinga utumbuaji, sasa najiuliza hivi ukawa hii inamaana kweli?
Kwanini inapinga? Kwani upinzani ni kupinga maendeleo?. Rais alipomtumbua aliyekuwa mkuu wa mkoa, ndugu -Sumaye, Lowassa n.k walipinga na kusema kwanini wasipewe nafasi wachunguzwe?
Pia juzi Kabwe katumbuliwa napo wamelalamika, sasa je, hivi hawa watu wanataka Rais afanye nini? hawaoni kuwa huo utendaji wa mazoea na uzembe na tume za uchunguzi ndizo zilizotufiksha hapa?
Inanikera sana kwakweli, hata humu, wanaharakati wa mitandao ya kijamii kama Yericko Nyerere naye anaposti hoja za kupingana na utumbuaji, hivi ukawa ingefanikiwa kuingia ikulu kumbe wangefanyaje? Kama mambo yenyewe ndo hivi bora kusiwe na upinzani maana tunachanganyana tu.
Kwa kweli nampongeza sana sana rais huyu mheshimiwa John Pombe Magufuli; na kwa unafiki unaooneshwa na ukawa ni dhahiri hawastahili hata kupewa nchi kwa dakika moja ni wanafiki na wasaka tonge tu.
Nyumbu ni ccm wote mliokariri neno kazi tu Sasa linatumika kula Rushwa ya Lugumi na kitwanga .Nyumbu hao. Watakufa kwa kihoro. Hapa kazi tu.
Wajipange vipi ? Pesa za NIDA , escrow, kivuko feki, mabehewa chakavu, ATC, Chenji ya Rada na Bunge la katiba, uuzaji nyumba za Serikali , Ufujaji pesa NSSF na wizi mwingineo kibao vyote ni ccm kavifanya , Sasa kujipanga kupi unataka ? Lazima hii pesa iludi kwanza ndipo mlete porojo zenu.Kwa kweli Sera za UKAWA hazieleweki kwa ss, inabidi wajipange tena wajipange mapema sana! Manake wanazidi kupoteza mvuto daily
we endelea kulalamika wenzako wanafanya mambo, muda wa kulalamika umeishaWajipange vipi ? Pesa za NIDA , escrow, kivuko feki, mabehewa chakavu, ATC, Chenji ya Rada na Bunge la katiba, uuzaji nyumba za Serikali , Ufujaji pesa NSSF na wizi mwingineo kibao vyote ni ccm kavifanya , Sasa kujipanga kupi unataka ? Lazima hii pesa iludi kwanza ndipo mlete porojo zenu.
Kawashindwa January aliyetapeli mtaliano Kwa kivuli cha ikulu na Mwakyembe aliyenunua mabehewa chakavu sembuse hao !Magufuli Kama Kidume Atumbue EGMA,EPA,ESCROW,IPTL,LUGUMI,et al
mambo gani wanafanya ? Kumlinda Lugumi ndiyo kazi mliyotumwa na wananchi ?we endelea kulalamika wenzako wanafanya mambo, muda wa kulalamika umeisha
Utakuwa umepokea Rushwa toka Kwa Lugumi wewe.Uko kama mimi hata ukicheki thread zangu sikuwahi kumfagilia Magufuli uchaguzi uliopita lkn kwa namna anavyochukia rushwa imenipasa niweke pembeni ushabiki wa kisiasa. Naanza kuwaogopa UKAWA.
Mambo ya kisayansi ni kumlinda Dau wa NSSF aliyezidisha pesa kwenye Ujenzi wa daraja? Kuuza nyumba za Serikali ni mambo ya kisayansi ? Kununua kivuko kibovu cha 1978 Kwa bilion 8 ni mambo ya kisayansi ? Zile bilion 251 zilizopotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi hewa ni mambo ya kisayansi ? January alimtapeli Mzungu Kwa kivuli cha ikulu na hapo hapo alipiga bilion 1.7 za kampeni ya ccm ni mambo ya kisayansi ? au kwako sayansi ni kuwalinda kitwanga , Mwakyembe na wenzao waovu wote ? ?Mkuu hivi wewe unadhani magufuli ni mjinga kama Lowasa? Jpm hufanya mambo yake kisayansi wala siyo kijinga kama nyie.
Well said.Habari zenu wanajamii,