Nimeamini sisi UKAWA ni wasaka tonge tu

Nimeamini sisi UKAWA ni wasaka tonge tu

wewe si ukawa, usilete unafiki, msaka tonge ni wewe na ccm yako, unajidai kujifanya ukawa....ukawa hatuikubali serikali iliyoko madarakani iliyoingia kusiko halali, hivyo juhud za huyo mfalme unayemtaja hazituhusu..
Nyumbu bana, hata mkiambia mlambe kinyesi cha Mwenyekiti wenu mtalamba tu.
 
They play a shame game?
Nimewadharau sana, yaani kubana matumizi ili madawati yanunuliwe wanaona ni ADHABU.
 
Mkuu mbona unamtusi mama yako kimafumbo??
 
Uko kama mimi hata ukicheki thread zangu sikuwahi kumfagilia Magufuli uchaguzi uliopita lkn kwa namna anavyochukia rushwa imenipasa niweke pembeni ushabiki wa kisiasa. Naanza kuwaogopa UKAWA.
Majority ya ex-Ukawa wanaofikiria sawasawa wanakubaliana nawewe....wachache vibarua wa Ufipa watakuja na povu la matusi
 
Uko kama mimi hata ukicheki thread zangu sikuwahi kumfagilia Magufuli uchaguzi uliopita lkn kwa namna anavyochukia rushwa imenipasa niweke pembeni ushabiki wa kisiasa. Naanza kuwaogopa UKAWA.
Mwanangu ukiijua kweli itakuweka huru
 
Habari zenu wanajamii,

Kiukweli mimi nimekuwa nafuatilia sana utendaji wa Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe magufuli, kiukweli anayotekeleza ni kama alikuwemo kweme moyo wangu, anatekeleza yale yote ya ukawa kama ukawa ilikusudia kuyafanya endapo ingechaguliwa.

Cha kushangaza na kinachonikera ni vile baadhi ya viongozi wa ukawa wanavyoponda uwajibikaji huu, inaniuma sana ninapoona kiongozi wa ukawa anasimama hadharani na kupinga utumbuaji, sasa najiuliza hivi ukawa hii inamaana kweli?

Kwanini inapinga? Kwani upinzani ni kupinga maendeleo?. Rais alipomtumbua aliyekuwa mkuu wa mkoa, ndugu -Sumaye, Lowassa n.k walipinga na kusema kwanini wasipewe nafasi wachunguzwe?

Pia juzi Kabwe katumbuliwa napo wamelalamika, sasa je, hivi hawa watu wanataka Rais afanye nini? hawaoni kuwa huo utendaji wa mazoea na uzembe na tume za uchunguzi ndizo zilizotufiksha hapa?

Inanikera sana kwakweli, hata humu, wanaharakati wa mitandao ya kijamii kama Yericko Nyerere naye anaposti hoja za kupingana na utumbuaji, hivi ukawa ingefanikiwa kuingia ikulu kumbe wangefanyaje? Kama mambo yenyewe ndo hivi bora kusiwe na upinzani maana tunachanganyana tu.

Kwa kweli nampongeza sana sana rais huyu mheshimiwa John Pombe Magufuli; na kwa unafiki unaooneshwa na ukawa ni dhahiri hawastahili hata kupewa nchi kwa dakika moja ni wanafiki na wasaka tonge tu.
Mkuu umenena ....vikaneneka.
 
Nadhani sasa ule mtindo wa mtu tunayemdania ni kibaka kumchoma moto uwe rasmi kwani nao wametuchosha na hakuna haja ya kuwapeleka mahakaman. Hii itakuwa ni kuenzi jitihada zinazoonyeshwa za kuhukumu bila kuwasikiliza watuhumiwa
 
Elimishaaaaa! kiongozi usilalamike shusha unasomeka, za mwizi harobaini.
Hawa jamaa mimi niponao lkn balaaa wamepewa naeema kubwa sana hadi ya kufutia mtu zambi zake zote bila kubakiza hata chembe.
 
"You shall know the truth and the truth shall set you free." Mtoa mada umeujua ukweli na ukweli umekuweka huru tena huru kweli kweli
 
Kama viongozi wanakejeli jitihada za mheshimiwa Rais,kwa kweli ni jambo la kusikitisha ni aibu na wendawazimu kuendelea kuunga mkono watu wa jinsi hii.Upinzani sio ujinga ujinga wa kuleta ubishi usio na msingi.Namuunga mkono Rais wangu na namuombea,watu wasimkatishe tamaa.Rais wangu endelea kufanya kazi sisi tuko nyuma yako bila kujali itikadi zetu.Mungu akupe maisha marefu na hekima uendelee na moyo huu huu wa kutetea watu wako

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
tatizo lako wewe ni bwabwa kila kitu wewe ni kupiga vigeregere tu! unajipendekeza kwa ukawa
 
Mheshimiwa akifanya mazuri atapewa sifa zake na anapokengeuka vilevile anaelezwa tu..Na hivyo ndivyo mambo yatakavyoenda ishu si kumwondoa Kabwe ishu ni kamuondoaje, Na kwani akifuata utaratiibu wa kisheria lengo lake lisingefikiwa?
Zitto mlimuondoaje CDM?
 
Nadhani sasa ule mtindo wa mtu tunayemdania ni kibaka kumchoma moto uwe rasmi kwani nao wametuchosha na hakuna haja ya kuwapeleka mahakaman. Hii itakuwa ni kuenzi jitihada zinazoonyeshwa za kuhukumu bila kuwasikiliza watuhumiwa
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba wanaochoma wezi sheria inawakaza kufanya hivyo, anachofanya Magu sheria inamruhusu kufanya.
 
Kuna watu CDM walifukuzwa bila hata kupewa haki ya kusikilizwa ....Kafulila ni shahidi
 
Mkuu hivi wewe unadhani magufuli ni mjinga kama Lowasa? Jpm hufanya mambo yake kisayansi wala siyo kijinga kama nyie.
Ifike pahala muwe mnakuwa na adabu huwezi hivi mtu akimuita Babaako mjinga ni sawa? siasa zimewafanya mmekuwa vijana wapumbavu akili hamna mnategemea mitelemko tu. Kila kitu ni kujikomba komba tu, i don't depend on Ukawa for living, en i wll never do that, nayosema natimiza wajibu wangu kama msomi niliyesomeshwa na kodi za watu masikin wa nchi hii, na ni vile cna platform ya kusemea.
 
Back
Top Bottom