Nimeamini sisi UKAWA ni wasaka tonge tu

Nimeamini sisi UKAWA ni wasaka tonge tu

Habari zenu wanajamii,

Kiukweli mimi nimekuwa nafuatilia sana utendaji wa Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe magufuli, kiukweli anayotekeleza ni kama alikuwemo kweme moyo wangu, anatekeleza yale yote ya ukawa kama ukawa ilikusudia kuyafanya endapo ingechaguliwa.

Cha kushangaza na kinachonikera ni vile baadhi ya viongozi wa ukawa wanavyoponda uwajibikaji huu, inaniuma sana ninapoona kiongozi wa ukawa anasimama hadharani na kupinga utumbuaji, sasa najiuliza hivi ukawa hii inamaana kweli?

Kwanini inapinga? Kwani upinzani ni kupinga maendeleo?. Rais alipomtumbua aliyekuwa mkuu wa mkoa, ndugu -Sumaye, Lowassa n.k walipinga na kusema kwanini wasipewe nafasi wachunguzwe?

Pia juzi Kabwe katumbuliwa napo wamelalamika, sasa je, hivi hawa watu wanataka Rais afanye nini? hawaoni kuwa huo utendaji wa mazoea na uzembe na tume za uchunguzi ndizo zilizotufiksha hapa?

Inanikera sana kwakweli, hata humu, wanaharakati wa mitandao ya kijamii kama Yericko Nyerere naye anaposti hoja za kupingana na utumbuaji, hivi ukawa ingefanikiwa kuingia ikulu kumbe wangefanyaje? Kama mambo yenyewe ndo hivi bora kusiwe na upinzani maana tunachanganyana tu.

Kwa kweli nampongeza sana sana rais huyu mheshimiwa John Pombe Magufuli; na kwa unafiki unaooneshwa na ukawa ni dhahiri hawastahili hata kupewa nchi kwa dakika moja ni wanafiki na wasaka tonge tu.
Wapinzani wakiendelea kwa staili hiyo ya kupinga utendaji wa magufuli ambao unaungwa mkono na zaidi ya asili mia tisini ya wananchi, watapatwa na ugonjwa wa moyo chaguzi zijazo kuanzia serekali za mitaa.
 
ukawa ni janga na kizuizi cha maendeleo kwa wananchi
 
Mh. Magu mjanja sana nafasi za ukuu wa wilaya na nyinginezo za uteuz ameziminya kwanza ili mjikombe weeee mpaka mkimaliza ndo atawachuja. So Ukawa saiv wategemee matusi na kejeli, sababu akili ya mtanzania iko tumboni.
Umeongea point mkuu kwa Sasa watakanyagana hata wao kwa wao
 
Heri uunge mkono yanga kuliko huu uchafu unaojiita ukawa juzi kati hv yule babu duni alionyesha rangi yao ya huu muungano wao kama vile wa vicoba
 
wewe si ukawa, usilete unafiki, msaka tonge ni wewe na ccm yako, unajidai kujifanya ukawa....ukawa hatuikubali serikali iliyoko madarakani iliyoingia kusiko halali, hivyo juhud za huyo mfalme unayemtaja hazituhusu..
wewe ni kati ya wale wapumbaf na malofa sasa kama hatuikubali serikali kwa nini hatuendi mahakamani. inakuwaje sasa wabunge wapo Dodoma wanaisimamia serikali iliyopo madarakani. acheni upumbaf makamanda. sisi tulishapigwa kwa kuua ajenda ya ufisadi kwa kununuliwa na vipesa pesa tu. tuliuza uhuru wetu tukasafisha mafisadi na kuwapa mavyeo. tulishachemsha sasa wacha tukae sindano zituingie vizuuuuri. achaneni na Magufuli aendelee kutumbua majipu. tena ikiwezekana aongeze speed
 
Habari zenu wanajamii,

Kiukweli mimi nimekuwa nafuatilia sana utendaji wa Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe magufuli, kiukweli anayotekeleza ni kama alikuwemo kweme moyo wangu, anatekeleza yale yote ya ukawa kama ukawa ilikusudia kuyafanya endapo ingechaguliwa.

Cha kushangaza na kinachonikera ni vile baadhi ya viongozi wa ukawa wanavyoponda uwajibikaji huu, inaniuma sana ninapoona kiongozi wa ukawa anasimama hadharani na kupinga utumbuaji, sasa najiuliza hivi ukawa hii inamaana kweli?

Kwanini inapinga? Kwani upinzani ni kupinga maendeleo?. Rais alipomtumbua aliyekuwa mkuu wa mkoa, ndugu -Sumaye, Lowassa n.k walipinga na kusema kwanini wasipewe nafasi wachunguzwe?

Pia juzi Kabwe katumbuliwa napo wamelalamika, sasa je, hivi hawa watu wanataka Rais afanye nini? hawaoni kuwa huo utendaji wa mazoea na uzembe na tume za uchunguzi ndizo zilizotufiksha hapa?

Inanikera sana kwakweli, hata humu, wanaharakati wa mitandao ya kijamii kama Yericko Nyerere naye anaposti hoja za kupingana na utumbuaji, hivi ukawa ingefanikiwa kuingia ikulu kumbe wangefanyaje? Kama mambo yenyewe ndo hivi bora kusiwe na upinzani maana tunachanganyana tu.

Kwa kweli nampongeza sana sana rais huyu mheshimiwa John Pombe Magufuli; na kwa unafiki unaooneshwa na ukawa ni dhahiri hawastahili hata kupewa nchi kwa dakika moja ni wanafiki na wasaka tonge tu.
Hata mm nakereka sana na hii dhana dhalimu ya upinzani, kupinga kila kitu,negativity, kutafuta makosa peke tu hata kwenye mambo ya wananchi maskini!
Kama wewe uko kinyume na magufuli uko kinyume na watanzania wote maskini!
 
Yaani wao wanataka wale wasowapenda wao ndio wachukuliwe hatua...ingekuwa Dau au Lugumi ndio ametumbuliwa usingesikia hizi kelele.

Wadau wao LHRC wanasema ni ukiukaji wa haki lakini wakati ule Mzee Slaa katangaza watu hadharani pale Jangwani na kuwaita Mafisadi waliona hiyo ni vema na haki.
 
Habari zenu wanajamii,

Kiukweli mimi nimekuwa nafuatilia sana utendaji wa Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe magufuli, kiukweli anayotekeleza ni kama alikuwemo kweme moyo wangu, anatekeleza yale yote ya ukawa kama ukawa ilikusudia kuyafanya endapo ingechaguliwa.

Cha kushangaza na kinachonikera ni vile baadhi ya viongozi wa ukawa wanavyoponda uwajibikaji huu, inaniuma sana ninapoona kiongozi wa ukawa anasimama hadharani na kupinga utumbuaji, sasa najiuliza hivi ukawa hii inamaana kweli?

Kwanini inapinga? Kwani upinzani ni kupinga maendeleo?. Rais alipomtumbua aliyekuwa mkuu wa mkoa, ndugu -Sumaye, Lowassa n.k walipinga na kusema kwanini wasipewe nafasi wachunguzwe?

Pia juzi Kabwe katumbuliwa napo wamelalamika, sasa je, hivi hawa watu wanataka Rais afanye nini? hawaoni kuwa huo utendaji wa mazoea na uzembe na tume za uchunguzi ndizo zilizotufiksha hapa?

Inanikera sana kwakweli, hata humu, wanaharakati wa mitandao ya kijamii kama Yericko Nyerere naye anaposti hoja za kupingana na utumbuaji, hivi ukawa ingefanikiwa kuingia ikulu kumbe wangefanyaje? Kama mambo yenyewe ndo hivi bora kusiwe na upinzani maana tunachanganyana tu.

Kwa kweli nampongeza sana sana rais huyu mheshimiwa John Pombe Magufuli; na kwa unafiki unaooneshwa na ukawa ni dhahiri hawastahili hata kupewa nchi kwa dakika moja ni wanafiki na wasaka tonge tu.
Kuna mtu amekukataza kumpongeza? Endelea kwa wakati wako.
 
Penda Siasa lakini si kwa Moyo wako wote.
 
Ukawa hawana mpya, wamegeuka watetezi wa majizi na matumizi ya hovyohovyo bila kujali maisha ya wanyonge.
 
Wapinzani wakiendelea kwa staili hiyo ya kupinga utendaji wa magufuli ambao unaungwa mkono na zaidi ya asili mia tisini ya wananchi, watapatwa na ugonjwa wa moyo chaguzi zijazo kuanzia serekali za mitaa.
asilimia hizo kwa reasearch gani? fuata upepo huongea na introspective huwa kimya mala nyingi na bahati mbaya wengi hufikiri maamuzi ya fuata upepo ndio asilimia kubwa kwakuwa wao hipiga kelele, ila siku zote wapiga kelele huwaga wachche! rudi kafanye realistic research utajua!

mimi nimeshafanya, watu wanakuunga mkono while hawapo na wewe! kazi za promo kwa media wajuzi wameshajua! chukua mwezi tuu unaweza kuelewa! manaake promo huwa haidumu, ina muda mfupi tuu baada ya hapo huwa ni kelele.

Me i like the guy lakini promo zinaanza kunifungua macho kuwa there must be something fishy going on&
Hata mm nakereka sana na hii dhana dhalimu ya upinzani, kupinga kila kitu,negativity, kutafuta makosa peke tu hata kwenye mambo ya wananchi maskini!
Kama wewe uko kinyume na magufuli uko kinyume na watanzania wote maskini!
kupinga kilakitu ni muhimu kwa ustawi kama kuungamkono kilakitu kulivyo muhimu suala ni hoja nyumayake fungua macho ndugu!
 
Habari zenu wanajamii,

Kiukweli mimi nimekuwa nafuatilia sana utendaji wa Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe magufuli, kiukweli anayotekeleza ni kama alikuwemo kweme moyo wangu, anatekeleza yale yote ya ukawa kama ukawa ilikusudia kuyafanya endapo ingechaguliwa.

Cha kushangaza na kinachonikera ni vile baadhi ya viongozi wa ukawa wanavyoponda uwajibikaji huu, inaniuma sana ninapoona kiongozi wa ukawa anasimama hadharani na kupinga utumbuaji, sasa najiuliza hivi ukawa hii inamaana kweli?

Kwanini inapinga? Kwani upinzani ni kupinga maendeleo?. Rais alipomtumbua aliyekuwa mkuu wa mkoa, ndugu -Sumaye, Lowassa n.k walipinga na kusema kwanini wasipewe nafasi wachunguzwe?

Pia juzi Kabwe katumbuliwa napo wamelalamika, sasa je, hivi hawa watu wanataka Rais afanye nini? hawaoni kuwa huo utendaji wa mazoea na uzembe na tume za uchunguzi ndizo zilizotufiksha hapa?

Inanikera sana kwakweli, hata humu, wanaharakati wa mitandao ya kijamii kama Yericko Nyerere naye anaposti hoja za kupingana na utumbuaji, hivi ukawa ingefanikiwa kuingia ikulu kumbe wangefanyaje? Kama mambo yenyewe ndo hivi bora kusiwe na upinzani maana tunachanganyana tu.

Kwa kweli nampongeza sana sana rais huyu mheshimiwa John Pombe Magufuli; na kwa unafiki unaooneshwa na ukawa ni dhahiri hawastahili hata kupewa nchi kwa dakika moja ni wanafiki na wasaka tonge tu.
Wewe utakuwa ni kuadi wa kuwatafutia michepuko , Mwakyembe , January , nape na kitwanga huna unalojua kaa kimya juu ya siasa endelea na ukuadi .
 
Back
Top Bottom