SoC02 Mfumo wa elimu chanzo cha taifa tegemezi - Tanzania

Stories of Change - 2022 Competition

Leesnathan

Member
Aug 2, 2022
6
1
Tanzania ni nchi huru inayojitegemea katika mfumo wake mzima wa Elimu pasipo kushuritishwa na Taifa lolote duniani.

Mfumo mzima wa Elimu ya Tanzania umetokana na sera na mitaala ambayo imeandaliwa na wizara ya Elimu ya Tanzania sambamba na kutungiwa sheria mbalimbali na Bunge la jamuhuri ya Tanzania.

Mfumo/Mitaala iliyopo katika nchi ya pendwa Tanzania kwa sasa imepitwa na wakati na kwa kiasi kikubwa inapelekea kuwa na Taifa tegemezi kwa sababu kuu nyingi lakini hapa nitaelezea sababu kuu moja na kuitolea Muongozo wa nini kifanyike ili kulikomboa Taifa.

1.WAHITIMU WA ELIMU YETU KWA NGAZI MBALIMBALI BADO NI TEGEMEZI HATA BAADA YA KUHITIMU.

Kwa masikitiko makubwa kwenye jamii zetu kumekuwa na ongezeko kubwa la wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu na katika kada tofautitofauti lakini bado ni tegemezi hawajiriki kwa kiwango hata cha wastani kutokona na wingi wao mbaya zaidi weledi wa kujiajiri ndo hawana kabisa hivyo kuwa na wasomi wenye karatasi linaloitwa cheti chenye ufaulu mzuri wa darasani lakini ufaulu wa elimu na fursa zinazopatikana katika jamiii zetu hawana kabisa.

MFANO:Hapa natolea mfano kwa mtoto anayetakiwa kuanza elimu ya msingi akiwa na wastani wa miaka 6 hadi 7

Serikali hii yangu ya Tanzania inamshikilia katika mfumo/mtaala wa kusoma masoma ya nadharia zaidi,masomo zaidi ya 7 kwa kipindi cha miaka 7.

Kwa masikitiko Mwanafunzi huyu anapimwa kwa kipimo cha mtihani kwa kuingia kwenye chumba na kuwekewa ulizi wa wastani wa dk 120. Kwa kila somo moja kwa kipindi cha wastani wa siku 3 mpaka 4 atakuwa amepimwa nini alichoelewa kwa kipindi cha miaka saba na kupewa cheti chenye ufaulu wa kuendelea na shule ya upili au safari yake iwe imeishia hapo kwa maana mtoto huyo anakuwa hana ujuzi wowote alioupata katika kipindi hicho wala hajaweza kuwekewa mazingira halisi ya kuonyesha hata kipaji chake.

Matabaka yanaaza kupatikana hapa sasa Tabaka kubwa kwa sasa linakuwa wale walioendelea na shule ya upili na tabaka dogo linakuwa kwa wale walioishia darasa la saba ambao hata ujuzi hawakupata kwa kipindi cha miaka saba.

Tabaka la darasa la saba huwa wachache wao wanaaza kupambana na ujuzi rasmi na mara nyingi hufanikiwa zaidi na mapema kulko wale walioendelea na shule ya upili,

Tabaka la darasa la saba wachache hupata ujuzi halisi wa kukabiliana na changamoto zilizopo katika jamii zao isipokuwa hukutana na changamoto za kimfumo kutoka kwenye mamlaka mbalimbali.

KWA MFANO vip kuhusu yule kijana wa kijijini Aliyetambua fursa na kuifanyia kazi kwa kulima kilimo cha kisasa cha nyanya na akafanikiwa katika mazao ya uhakika serikali ndo itampangia soko na kodi lukuki wakati mwingine kukosa soko kabisa na miundo mbinu ya kuiongezea nyanya thamani na hatimae nyanya inaharibika na kuozea shambani.

Hivi kweli mashine ndogo tu yakusindika nyanya na kuifanya nyanya ikawa na thamani nilazima twende kwa waganga au wachungaji kutuongoza katika hili!!

Vip kuhusu upande wa mikoa ya Pwani panakolimwa nanasi kwa wingi wakulima wengi wakiwa ni wale wa tabaka la darasa la saba je serikali imewaza hata kila kata kuwa na mashine ndogo tu ya kuongeza thamani ya zao hili la biashara?!

Au nanasi tutalipata kwa wingi kipindi cha msimu tu na wingi huo asilimia stini huaribikia shamba au njiani likitafuta soko pembezoni mwa barabara zetu.

Twende sasa kwa upande wa Tabaka la pili waliobahatika maana si wote wanakuwa na uhalali wa kuendelea na shule ya upili inategemea na mfumo wa upimaji na usimamizi katika mitihani pia.

Kwa masikitiko yaleyale serikali inawashikilia kwa miaka mingine 4 katika mitaala mibovu yenye kudumaza akili ya kujitegemea na walio wengi kwa kipindi cha karibuni Taifa limeshindwa kujua au kuamua ipi ni lugha sahihi ya kutoa elimu katika Taifa la Watanzania wenye asili ya Ubantu.

Waliowengi tayari wamesha aminishwa kujua lugha ya kiingereza ndo msingi mkuu wa mafanikio katika Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kumbe tumepotezana sana katika hili na bado serikali yangu kushirikiana na Taasisi zake hazijataka kukiri na kutoa mungozo utakaofuta makosa haya.

Baada ya miaka 4 ya Tabaka hili la shule ya upili miaka yenye panda shuka nyingi sana za wazazi maskini kuuza mifugo na hata vipande vya ardhi ili tu watoto wao waende shule pasipo kujua mfumo uliopo huko unakwenda kuharibu kiakili na kuwatengeneza kuwa tegemezi kwa gharama za wazazi wao wenyewe!!

Mwisho wa Tabaka hili ni kipimo cha mitihani ya siku 5 hadi 7 ya wastani wa saa 3 kwa kila somo tena kwa ulizi sasa ni polisi wanakuwa wanapitapita na sare zao kuhakikisha usalama unakuwepo

Hapa kwa kweli ndipo makosa makubwa yanaendelezwa hapa panazaliwa Tabaka la 3
Tabaka la aliyesoma kidato cha kwanza mpaka cha 4 lakini hana cheti!

Cheti kilichopatikana kwa wastani wa kipimo cha saa 3 kwa kila somo alilosoma kwa mika 4!!
Cheti kilichotafutwa kwa lugha ya kigeni katika nchi ya wenyeji kwa gharama za wazazi maskini sana.

Cheti ambacho Tanzania yangu inakithamini kuliko hata kipaji cha Mtanzania mwenye uwezo na uzalendo wa kutengeneza ndege au chochote chenye teknolojia ya kisasa mmlaka itahoji kuhusu cheti cha kidato cha 4 kwanza na kama hana figisu itaazia hapo.

Vip kuhusu wale waliudhuria darasani kwa miaka 4 kwa wastani wa kutokukosa kabisa masomo kwa kuwa wazazi wao walijinyima na kufanya kila lililojema na uzalendo kwa nchi yao ili watoto hawa wasome!

Lakini kipimo cha saa tatu kwa kila somo kilitosha kuielekeza Wizara husika kwamba haiwatambui hata kwa kuwapa cheti badala yake wahitimu hawa hawajitambui wapo kwenye kundi gani kwa sasa mfumo umekaa kimya kwenye tabaka hili.

Serikali yangu inashindwa kujua vijana wenye kauli mbiu TAIFA LA KESHO
wanajengwa kwa Leo yenye misingi mizuri itakayotupeleka kuwa na kesho imara.
Badala yake tunajenga Taifa lenye vijana wa wa kuwaza kamari na kuamini katika pesa nyepesi kama vile Qnet na mambo kama hayo.

Wapo waliokalia mamlaka mbalimbali na kamwe hawawezi kufikiria katika hilo kwa kuwa upande wao tayari mfumo unawabeba.

Tabaka la nne sasa ni wale ambao mfumo wetu mmbovu utaonyesha sasa wana sifa za kuendelea na kidato cha sita na hatimaye chuo kikuuu, hapa tayari wazazi wao watakuwa ni maskini mara baada ya kuuza mifugo mazao na hata vipande vya ardhi wakitegemea msaada mkubwa utapatikana mara tu mtoto atakapomaliza chuo kikuu!!

Vitendawili,Methali,Ngonjera na Nahau zinaaza kufanya kazi
Hapa tuna kijana sasa ni mtu mzima kwa zaidi ya miaka 20 amekuwa kwenye mfumo wa elimu uliomjenga kwenye akili ya nadharia zaidi.

Nadharia hii ameipata kwa kulipia gharama mbalimbali sasa anarudi kwa mzazi na kuaza kutumia nadharia yake na kiingereza kisichoeleweka na hata kikieleweka basi hakina msaada kwenye uhalisia wa maisha ya jamii inayomzunguka.

Kijana ambaye hawezi kutambua changamoto na kuzifanya kuwa fursa katika jamiii yake sababu kubwa ikiwa ni mfumo umemjenga hivyo.

Kijana anarudi kwa mzazi ,mzazi maskini kwa ajili ya mfumo wa elimu ya mwanaye
Mzazi anakosa matumaini mtoto naye matumaini yake makuu ni lazima apate kazi za kuajiriwa!!

Hata pale mzazi anapojaribu angalau kumkomboa kwa kumpa elimu halisi ya mtaani kwa kuwa tu mzazi ni mfugaji mzoefu namna ya kutengeneza samli kama mafuta ya kupikia mbadala!!
Kijana analeta usomi mwingi usio na maana kwa mzazi hivyo kiujumla kijana hafundishiki tena na mzazi kwakuwa mfumo tayari umesha mpoteza.

NINI KIFANYIKE WAHITIMU WASIWE TEGEMEZI.
Hapa kutokana na vigezo na masharti nitaelezea sababu moja kuu kati ya nyingi za kufanya ili kuepusha wasomi wetu kuwa tegemezi katika Taifa hili Pendwa la Tanzania

1. MABADILIKO MAKUBWA KWENYE MFUMO WA ELIMU YETU
Hapa ni lazima wenye mamlaka wa tambue kwamba tumeshajikwa na tayari tumeanguka bado kunyanyuka
Kunyanyuka kwetu ni kukubali kushirikiana na wadau mbalimbali katika kujua ni aina gani ya mabadiliko yanahitajika kwa sasa ili kwenda nayo tena kwa zaidi ya miaka hamsini

Kwanza kabisa lazima tubadili mtiririko mzima wa kuaza elimu ya msingi na kuhitimu chuo kikuuu.
Kwani kwa sasa mfumo upobkatika mtiririko wa darasa la kwanza mpaka la saba alafu kidato cha kwanza mpaka cha 4 vyuo vya kati au ufundi au kidato cha sita hatimaye vyuo vya kati ufundi au chuo kikuu.

Kwa mtazamo wangu mlolongo huu ni makosa makubwa sana napendekeza mfumo wa ufundishaji uwe ni wa vitendo zaidi na lugha ya kufundishia itambulike rasmi kwamba ni Kiswahili kwa kipindi chote mwanafunzi atakapokuwepo masomoni.

Idadi ya masomo katika kipindi cha miaka saba iwe ni masomo 5 tu masomo 3 kati ya 5 yawe ni masomo ya ujuzi mbalimbali kwa kuzingatia jamii halisi ya Kitanzania na hali halisi ya dunia kwa sasa kwa mfano
Mpira,Mziki,kilimo,biashara,uandisi,udaktari useremala na fani nyingine mbalimbali ziwe zinafundishwa mashuleni kwa ngazi ya mwanzo kabisa na masomo haya yafundishwe kwa vitendo zaidi kwa kipindi hiki cha miaka saba.

Kufundishwa kwa vitendo kwa mfano somo la kilimo likifundishwa kwa vitendo tutakuwa na mashamba darasa karibu kila shule jambo ambalo litaibua kipaji halisi cha mtoto tangu anapokuwa mdogo sambamba na masomo mengine kama mziki na mpira pia tutapata wachezaji wadogo ambao tutaweza kuaza nao na kuwakuza katika fani yao halisi.

Hapa lengo ni kumjua yupi ni daktari yupi ni mkulima yupi ni mfugaji yupi ni mvuvi yupi ni seremala yupi ni daktri yupi ni rubani nk

Katika umri mdogo na uhalisia kamili na si kuwakaririsha watoto wakati hawajapata msingi mzuri tangu wakiwa wadogo.

Mara baada ya kuhitimu kipindi cha miaka 7 kwa vitendo zaidi tutakuwa na vijana wenye mwanga halisi nini hasa wanapendelea kukifanya katika dhamira zao katika vipaji vyao na Taifa kwa ujumla.

Hapa mtoto atakuwa na wastani wa miaka 12 hadi 14 sasa hapa wataitaji miaka mingine 3 ya kwenda darasani kwa ajili ya kusoma masomo 4 moja likiwa ni la lazima somo la uzalendo wa kujitoa kwa ajili ya nchi Yangu Tanzania mengine 3 yatatokana na fani watakazokuwa wameonekana na utayari nazo watasoma kwa nadharia na vitendo zaidi na hapa hakutakuwa na mitihani ya kupimana kwa dakika 120 ili kupata cheti ambacho hakiwezi mtambulisha na kumshindanisha katika soko la ajira hata la ndani ya nchi.

Badala yake serikali inapaswa kwa kipindi cha mwaka mzima yani mwaka wa 4 sasa wanafunzi wote wataenda katika taasisi mbalimbali kwa ajili ya kupata uzoefu wa lazima chini ya uangalizi wa mamlaka mbalimbali za serikali na binafsi.

kwa mwaka mzima baada ya mwaka huo ndiyo cheti kitatoka kuthibitisha kwamba mtu huyu tumekaa naye darasani miaka 3 akisomea mziki kwa nadharia na vitendo akijifunza uzalendo na kujitoa katika taifa lake
Alafu tumekaa naye kazini yani kwenye mafunzo ya vitendo kwa kipindi cha mwaka mzima na tumejiridhisha hawezi kuajiriwa badala yake anaweza kujiajiri mwenyewe na kuajiri vijana wengine.

Hapa kijana atakuwa na wastani wa miaka 16-18 umri huu ni sahihi sana kwa kijana kuwa na ruksa ya kuaza kulitumikia Taifa kwa Uzalendo wa hali ya juu serikali iruhusu elimu waliyoipata iitwe ELIMU YA UZALENDO WA TAIFA.

Elimu hii itatolewa kwa wastani wa miaka 14 lakini mtoto akitoka hapa atakuwa na uwezo wa kujiajiri au kuajiriwa katika ngazi ya chini na kuwa sehemu ya Taifa la Leo na kesho pia.

Hapa serikali itakuwa na viwanda vingi kwa kuwa nguvu kazi itakuwepo yenye weledi hakika hatutakuwa na upungufu wa alizeti na changamoto nyingine za kimfumo pia kuwe na nafasi ya kujiri na kuajiriwa kwa levo ya chini kabisa na hapa tutawapata wengi kwenye viwanda na kwenye kada mbalimbali

Mwisho baada ya Elimu ya uzalendo wa Taifa letu kutakuwa na Elimu ya ufundi na elimu ya juu ya utawala na utaalamu

mbalimbali itatolewa kwa wachache watakao taka kujiendeleza bila shida ya kuwa na vikwazo vya kimfumo.

MWISHO KWA SASA,
Naomba kura zenu,
NAOMBA KUWASILISHA.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kabla ujaongea fanya reseach na uje na evidences na takwimu
 
No research no right to speak , unajaza mashairi hapa with no proof ,jinga we
 
Back
Top Bottom