Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,074
Yampasa mwanaume ndo amwambie mapungufu yake ajirekebishe mkuu....Kwani hakuna wanawake wenye tabia hizo za kucheat? Iweje useme "wanaume most of them wana roho za kisatanic?"
Kabla ya kulaumu wanaume jaribu kujitafakari,nini kimepungua kwako mpaka huyo jamaa yako akucheat?
Tatizo ni nini mpaka akucheat? Kuna kitu anakosa kwako ndio maana kaenda kukitafuta kwa mwingine na ulitakiwa ulitambua hilo toka ulivyomkamata akikucheat mwanzoni kabisa.
Ushauri mwengine ni wa kina na kuzamia kabisa
siongei na punda kama weweFisi at work
Ushauri mwengine ni wa kina na kuzamia kabisa
ila umepotea ww mwanamke watu wanashika nafasi yako humu
we njoo tu nakusubiri huu mwaka wa tatu hujaja tuNiko busy.... huo ushauri wa kina na mie nahitaji huko PM [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nini kumwita mwenzi punda... huachagi vituko lol
Hahaha pamoja mkuu utani tuu !!!siongei na punda kama wewe
Acha apambane na stress zake.Yani mtu unafumania mara kibao alafu bado unakaa hapo, taa nyekundu haiwaki tu.!
Mbona za kayumba pia zinafundisha English?we kama hukusoma english medium usimwonee wivu mwenzio....[emoji38]pambana na hali yako