Nimeamini mapenzi yana nguvu sana

Mkuu huyo ni mwanafunzi kaa naye mbali, umri wako ni mdogo Sana kwahiyo hizo zote Ni tamaa tu, sababu umbo lake la balehe linaanza kujengeka, usisingizie mapenzi wala Nini, na ujinga,jinga mwingine,

pili ukianza hayo unayofikiria kuyaanza,(hata Kama hutompitia)itapelekea asifocus kwenye masomo sababu yako hivyo itapelekea yeye kufail masomoni,
Au utampa tumbo Kisha atimuliwe shule sababu yako pia, alafu lazima akubali sababu kwao hakuna kitu (pia usijidanganye hutompitia) baada ya hayo lazima arudi kwako,

Kati ya hayo likitokea Moja wapo, tayari
Utakua ushamuharibia maisha yake, na ndoto zake pia, ambapo angefanikiwa, labda angewasaidia wazazi wake (roho inaniuma)
Hivyo atakua tegemezi, na hutomtaka tena Kwani atakua Kama mzigo kwako, na kuanza kumnyanyasa sababu unajua kwao Hana kitu,

Tukirudi kwako, Kama ukijulikana una mahusiano na mwanafunzi, hapo lazima uingie jela, ukatumikie miaka 30 Kwani nyie ndio mna haribu watoto, Kama tungekua hatutumii fake I'd ungekua jela tayari(asikwambie mtu jela Ni mbaya Sana)

Alafu angekuwa mwanao wewe ambaye Ni mwanafunzi, alafu ana lidume pembeni, ungejisikiaje? Ungefanyaje?(Mimi ningekupiga Sana Kisha ukamalizie miaka yako jela) sitokubali huu ujinga wa kuniharibia mwanangu tena wa kike,
Kwanini usitafute wanawake wengine waliojaa,(wanawake wako wengi) ambao wanatafuta wanaume, hebu tutumie ubongo wetu vizuri jamani,

Tafadhali mwache, mwache mtoto wa watu usimwambie chochote, mwache amalize masomo yake, elimu ndiyo kila kitu kwa Sasa dunia ilipo, bahati nzuri sio mtu was matusi,
Nimeandika kwa uchungu mno sababu
Inasikitisha sana, tumepewa ubongo kufikiria Cha ajabu tunatumia kichwa(fuvu)

Kama Kuna watu mna tabia hii tafadhali acheni.
 
24+30=54 Safari njema ndug kiongoz tutakutana uzeen

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umemuonea huruma
Kuna kosa la kubaka under 18
Kuna kosa la kuwa na mahusiano na mwanafunzi
Kuna kosa la kumtia mimba mwanafuzi.
Kuna kosa la kumnyima mtoto haki yake ya ukuaji na ustawi.
Kuna kosa la unyanyasaji wa kingono.
NB: Kila kosa na hadhabu yake.
 
Eti mapenzi yana nguvu, yalisha wahi kukusogezea angalau unyoya wa kuku??

Katafute makurubembe achana na katoto hako, mwanaume huna hata haya lo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana ndo wanaingia balehe basi wanaona wanajua kila kitu kuliko hata wakubwa zao!!yani dogo kaniudhi sana et"akinikubalia familia yao haina kitu itanitegemea mimi" huyu dogo kadhihirisha hamfai huyo mtoto mwenzie hata kama angekuwa hasomi!!
Eti mapenzi yana nguvu, yalisha wahi kukusogezea angalau unyoya wa kuku??

Katafute makurubembe achana na katoto hako, mwanaume huna hata haya lo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu oa huyo mtoto usaidie familia yake, hopeful atakuwa mke mzuri kwako, anza kwa kumpa hela za matumizi bila kumwambia chochote, mnunulie vijizawadi kama nguo za ndani, na kadhalika, atakuelewa bila kutumia nguvu nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Seriously? Yaani aache elimu ambayo itamsaidia na kumpa maharifa ambapo angewasaidia wazazi wake, eti aende kuolewa!!!? Yaani unaharibu maisha ya mtoto hivi,hivi!! Elimu ndiyo kila kitu ulimwengu wa sasa,

Swali dogo: hivi angekua mwanao ambaye ni mwanafunzi alafu ana mahusiano na mtu au anatokea mtu anataka kumuona wewe ungechukua hatua gani?
Najua hutojibu.
 
Mkuu huyo ni mwanafunzi kaa naye mbali, umri wako ni mdogo Sana kwahiyo hizo zote Ni tamaa tu, sababu umbo lake la balehe linaanza kujengeka, usisingizie mapenzi wala Nini, na ujinga,jinga mwingine,

pili ukianza hayo unayofikiria kuyaanza,(hata Kama hutompitia)itapelekea asifocus kwenye masomo sababu yako hivyo itapelekea yeye kufail masomoni,
Au utampa tumbo Kisha atimuliwe shule sababu yako pia, alafu lazima akubali sababu kwao hakuna kitu (pia usijidanganye hutompitia) baada ya hayo lazima arudi kwako,

Kati ya hayo likitokea Moja wapo, tayari
Utakua ushamuharibia maisha yake, na ndoto zake pia, ambapo angefanikiwa, labda angewasaidia wazazi wake (roho inaniuma)
Hivyo atakua tegemezi, na hutomtaka tena Kwani atakua Kama mzigo kwako, na kuanza kumnyanyasa sababu unajua kwao Hana kitu,

Tukirudi kwako, Kama ukijulikana una mahusiano na mwanafunzi, hapo lazima uingie jela, ukatumikie miaka 30 Kwani nyie ndio mna haribu watoto, Kama tungekua hatutumii fake I'd ungekua jela tayari(asikwambie mtu jela Ni mbaya Sana)

Alafu angekuwa mwanao wewe ambaye Ni mwanafunzi, alafu ana lidume pembeni, ungejisikiaje? Ungefanyaje?(Mimi ningekupiga Sana Kisha ukamalizie miaka yako jela) sitokubali huu ujinga wa kuniharibia mwanangu tena wa kike,
Kwanini usitafute wanawake wengine waliojaa,(wanawake wako wengi) ambao wanatafuta wanaume, hebu tutumie ubongo wetu vizuri jamani,

Tafadhali mwache, mwache mtoto wa watu usimwambie chochote, mwache amalize masomo yake, elimu ndiyo kila kitu kwa Sasa dunia ilipo, bahati nzuri sio mtu was matusi,
Nimeandika kwa uchungu mno sababu
Inasikitisha sana, tumepewa ubongo kufikiria Cha ajabu tunatumia kichwa(fuvu)

Kama Kuna watu mna tabia hii tafadhali acheni.
Asante kwa ushauri ili la tamaa za mwili sikweli kwa sababu wakumaliza tamaa zangu za mwili ni wengi huyu nimempenda tu kutoka moyoni.
 
Seriously? Yaani aache elimu ambayo itamsaidia na kumpa maharifa ambapo angewasaidia wazazi wake, eti aende kuolewa!!!? Yaani unaharibu maisha ya mtoto hivi,hivi!! Elimu ndiyo kila kitu ulimwengu wa sasa,

Swali dogo: hivi angekua mwanao ambaye ni mwanafunzi alafu ana mahusiano na mtu au anatokea mtu anataka kumuona wewe ungechukua hatua gani?
Najua hutojibu.
Wewe hujaelewa na unatumia panic kuchangia hakuna nilipo andika ya kwamba asitishe masomo yake ili aolewe na mm nimesema baada ya kumaliza masomo.
 
Hivyo vitoto havina lolote kwa watu wenye hasira kama mm wala havifai maana ukiwa serious vinaleta utani..hamna lolote la msingi unaloweza kujadili nae vyenyew ni kununa na kususa hovyo ...na wala havipo makin kwa maradh wala mimba...ptuuuuuu vinipitie kushoto
 
Duu ndugu mbona umeongea kwa hasira namna hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom