Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Haya pole basi anza kumfatiliaKama nilivyo kwambia sijui ufahuru wake darasani, kama ana ufahuru mzuri darasani anaweza kusonga mbele zaidi kwenye masomo yake kwa hiyo nikarazimika kumsubili kwa muda mrefu sana na mimi uchumba wa muda mrefu huwa siupendi maana mwisho wake huwa ni maumivu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app