Nimeamini mapenzi yana nguvu sana

Kwanza siyo lazima kila unayempenda uchukue hatua. wengine acha ibaki crush tu unakuwa unajua moyoni mwako kwamba haka katoto nakaelewa ila basi tu. Kwani hivi ni huyo binti mmoja tu unayempenda na hakuna mwingine ?
Pili kama anamwili wa kiutu uzima fuatilia performance yake shuleni kama ni kilaza basi bora umpange tu uanze naye mahusiano uone kama yatafanya kazi, huwezi jidanganya eti umtongoze kwa gia za kumuoa halafu usisex naye mpk amalize shule huo ni uongo na mamwewe ni wengi watapita naye katikati hutaamini. Hapo ni wewe kuanza kujitengenezea mke unayemtaka huku ukiwa na tahadhari usidondokee mikononi mwa Magu..... Jela inakunyemelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo watu wengi wana ku crush. Lakini ni kweli unaweza kua na nia nae njema sema kwa situation hii mzee mazingira yamekubana sana, umri wako wa miaka 24 ulitakiwa uwe free kwenye kutafuta maisha, hapa sina maana kwamba usipende hapana, hapa namaanisha hapa mapenzi yanaweza kukupotezea focus au kukutoa kwenye reli,
Pili umri huo kama huna maisha mazuri au ya kati hata huyo mwanamke akikukubalia (tu assume amemaliza/issue za shule zimemzingua) then akaja mtu mwenye uwezo zaidi yako lazima akuteme

Tatu kwenye hali halisi sasa kama walivyosema wengine, umri huo huyo mwanamke bado sana akili yake haijawa matured hata ukimpenda vipi yeye ataona ni issue ya kawaida, hataipa uzito kama wewe ulivyoipa uzito na ukisema umkazie ataona kama unambana so mwisho wa siku utakuta unatumia effort kubwa sana kua nae jambo ambalo linaweza kuishia kukuumiza zaidi ya hivi sasa.

Nne Kwa jinsi ulivyoelezea inaonekana umpenda sana kupita kiasi na kupenda huku haku guarantee kua naye atakupenda na ikitokea kwa umri huo huo aliokua nao akakubali japo umekataa lakini ni rahisi sana kulala nae kuliko kupanga mipango ya ndoa, (kwa sababu ni process ndefu pia ni jukumu zito kwa age yako hii ya 24 otherwise useme una kazi yako na maisha yako tayari) hii ina maanisha jela inaweza kukuita muda wowote, na hapa si mpaka tu umpe mimba hata kua nae kimahusiano mzazi wake anaweza kukushtaki n.k

Ushauri wangu: Achana nae kwa muda huu focus kwenye mambo mengine ila baadae uje kumtafuta baadae, kama kweli unampenda.. Muache dogo a focus kwenye kitabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nilikuwa nasema hivyo kabla sipenda.
Iko hivyo Mkuu... Ndo maana kuna wengine wakiachwa Wanajiua, wengine Wanachanganyikiwa, wengine muda mwingi wanalia.... Wengine wanasema na Moyo kuwa imetokea Maisha lazima yaende, na kweli Maisha yanaenda!

Sasa wale watu Dhaifu always Mapenzi huwafanya Vibaya... Na hiyo ni Nature.
 
Iko hivyo Mkuu... Ndo maana kuna wengine wakiachwa Wanajiua, wengine Wanachanganyikiwa, wengine muda mwingi wanalia.... Wengine wanasema na Moyo kuwa imetokea Maisha lazima yaende, na kweli Maisha yanaenda!

Sasa wale watu Dhaifu always Mapenzi huwafanya Vibaya... Na hiyo ni Nature.
Kwakweli mkuu na kuanzia leo nimekoma kuwacheka watu wanao teswa na mapenzi.
 
Mkuu oa huyo mtoto usaidie familia yake, hopeful atakuwa mke mzuri kwako, anza kwa kumpa hela za matumizi bila kumwambia chochote, mnunulie vijizawadi kama nguo za ndani, na kadhalika, atakuelewa bila kutumia nguvu nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🧐Nimeangalia hapa, nimeona umezaliwa tarehe 30/3/2003,


🤓Kwahiyo una nyota ya jela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom