mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Mbona wapiga kura ndio walimchagua iweje leo awe Mungu? Acheni kufuru nyie CCMJPM ni chaguo la Mwenye Enzi Mungu walahi

soma report ya CAG.Zipi?
Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma
Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa
Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo
Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza
Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa
Tunakuunga mkono mheshimiwa
View attachment 960210
Kwa unafiki hatujambo,kwani ukisema ukwelii itakuajeNa nimegundua wanaompinga wana sababi zao binafsi
Mtoa mada endelea kusifu tena kwa mapambio maana" wajinga ndio waliwao". Tusubiri 2020 litakapowekwa "goma la SGR" hadharani tuone uzalendo wa jamaa na mje kwa wingi kama leo tujadili vizuriTunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma
Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa
Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo
Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza
Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa
Tunakuunga mkono mheshimiwa
View attachment 960210
Rais Magufuli always ni Strongman
Na genge lenu hua mnalipwa sh.ngapi kumponda?Hivi hili genge lake humu jf huwa linalipwa shi ngapi kumtetea
Kwani genge la Membe linalipwa sh ngapi kumpamba pamba?Hivi hili genge lake humu jf huwa linalipwa shi ngapi kumtetea
Ulitaka ziwe sababu za umma..... Great thinkers go round.....Na nimegundua wanaompinga wana sababi zao binafsi
Utawala bora ndio huo:Afanyie kazi tu ishu ya utawala bora na aache demokrasia ifanye kazi mambo yawe mukide!
Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma
Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa
Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo
Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza
Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa
Tunakuunga mkono mheshimiwa
View attachment 960210
Inasikitisha..Mkuu inaonyesha Ni jinsi gani watu huwa hawasomi content yote, wanasoma juu juu tu, akiona meneno flani flani tayari wankimbilia kucomment.........