MWAKISALU
Senior Member
- Nov 1, 2013
- 100
- 46
DHAMIRA YA MTU SIKU ZOTE HUONEKANA AMA HUPIMWA KUTOKANA NA MATENDO YAKE. NI VIGUMU SANA KUPIMA DHAMIRA YA MTU ALIYEKAA KIMYA ASISEME NENO LOLOTE. DHAMIRA NI WAZO LA NDANI MWA MOYO WA MTU, KUONEKANA KWAKE NI MPAKA PASHAHIBIANE NA MATENDO YAKE.
NAOMBA NIANDIKE MAADA YANGU KWA KISWAHILI ILI IWAFIKIE WATANZANIA WALIO WENGI MAANA MAADA INAIHUSU TANZANIA NA WATU WAKE.
NDUGU ZANGU MWAKA 2015 OCTOBA SOTE TUNAKUMBUKA KUWA TANZANIA ILIKUWA KTK UCHAGUZI MKUU. UCHAGUZI AMBAO KWA MUUJIBU WA KATIBA YA NCHI NA SHERIA ZAKE ILIMTAMBUA DR JOHN POMBE MAGUFULI KUWA NDIYE RAIS MTEULE WA TANZANIA NA BAADAYE NOVEMBER 2015 AKALA KIAPO KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WA AWAMU YA TANO TANGU TZ IPATE UHURU WAKE HAPO MWAKA 1961.
DHAMIRA YA RAIS DR MAGUFULI ILIANZA KUONEKANA SIKU NYINGI TANGU ALIPOINGIA BUNGENI MWAKA 1995 KAMA MBUNGE ALIYETOKEA JIMBO LA UCHAGUZI CHATO CCM.
MARA BAADA YA RAIS DR. MAGUFULI KUSHIKA HATAMU ZA KUWA MKUU WA NCHI NA MAJESHI YAKE NCHINI TANZANIA SOTE TULIIONA KASI YAKE ILIYOANZIA KTK KITOVU CHA PESA PALE BoT. KASI HIYO ILIENDELEA KTK MAENEO MENGINE MBALIMBALI NCHINI NA KTK WIZARA TOFAUTI.
DHAMIRA NA UMALIDADI WA RAIS DR. MAGUFULI ULIONEKANA KTK UTEUIZI WA PM KASSIM MAJALIWA. KTK HILI RAIS DR. MAGUFULI ALIMWANDIKIA SPEAKER JOB NDUGAI KWA MKONO WAKE ILI KUPELEKA JINA LA WAZIRI MKUU NDANI YA BUNGE ILI KULIDHIWA KABLA HAJAAPISHWA. NAMI NILISTUKA KUSIKIA JINA HILO, LAKINI SIKUPATA HOFU JUU YA UTEUZI HUO MAANA KASSIM MAJALIWA NILIMFAHAMU HATA KABLA YA HAPO KUWA NI MTU MAKINI MCHAPAKAZI, MSTAHIMILIVU, ASIYE NA MAKUNDI NA MZALENDO KWA TAIFA LAKE. ILA NIKAWA NA SWALI TU KUWA KAMPATEJE MTU HUYU.
DHAMIRA YA RAIS DR. MAGUFULI ILIANZA HASA KUONEKANA KTK KAMPENI ZAKE HASA PALE ALIPOTUMIA MANENO MATATU MAKINI YA "NIAMININI WATANZANIA SINTAWANGUSHA"
NI UKWELI USIOFICHIKA KUWA RAIS DR. MAGUFULI NI MZALENDO KWELIKWELI KWA TAIFA LA TANZANIA, HASA KAMA TUTAACHANA NA SIASA NA TUKANGALIA NINI ANAFANYA KWA TAIFA HILI NA KULINGANISHA NINI WALIOMTANGULIA WAMEFANYA KWA TAIFA HILI. DHAMIRA BILA MATENDO JENGEFU HUPOTEZA UHALISIA WAKE.
NI KWELI KUWA KUNA BAADHI YETU TUMEMKOSOA SANA RAIS DR. MAGUFULI KWA UTENDAJI WAKE NA SPEED YAKE KTK KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE.
SUALA LA KUTUMBUA MAJIPU PIA LIMEKUWA NI MJADALA MKUBWA SANA NA KUDIRIKI KUSEMA APUNGUZE SPEED. WATU WAMEDIRIKI KUSEMA IMEFIKA HATUA WATEULE WAKE WANAFANYA KAZI KWA UOGA NA SASA KUNAWAFANYA NAO WASHINDWE KUJIAMINI KWA HOFU YA KUTUMBULIWA.
NDUGU ZANGU NAOMBA NIWE MUWAZI. NIMEKUWA KTK UTUMISHI WA UMMA KWA MIAKA KUMI SASA. NIMEJIFUNZA NA KUONA MENGI SANA.
WATENDAJI WETU TULIO WENGI KTK MAOFISI YETU TUMEKUWA WANAFIKI SANA NA WAPENDA MAENDELEO YA HARAKA NA KUTUFANYA KUACHA KUFUATA MIIKO YA UTUMISHI WA UUMA NA KUFANYA YETU KWA MANUFAA YA MATUMBO YETU. HII NDIYO JAMII ALIYOIKUTA RAIS DR. MAGUFULI.
KUMEKUWA NA WASHAURI WABAYA SANA KTK JAMII ZETU. WASHAURI HAWA WAMEDIRIKI HATA KUWAPOTOSHA VIONGOZI KWA KUTAKA TU KUMEET MAHITAJI YAO.
HATA WATU WENYE NYADHIFA KUBWA KAMA MAWAZIRI, WAKURUGENZI, MAKATIBU TAWALA NAO WAMEKUWA NA USHAURI MBOVU KWA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI. HII NDIYO JAMII AMBAYO RAIS MAGUFULI AMEIKUTA.
NANI ALIWAHI KUFIKIRIA KUWA TANZANIA INA ZAIDI YA WAFANYAKAZI HEWA 7000. JE WAKURUGENZI NA VIONGOZI KADHAA WENYE NYADHIFA SERIKALINI HAWAKUJUA HAYA? JE WALIMSHAURI NINI KIONGOZI WAO WA NCHI? IKUMBUKWE KUWA RAIS YUPO JUU KABISA, WENYE KUJUA NINI KIPO NA NINI HAKIPO NI HAWA TULIOCHINI.
JE KUNA UHALALI GANI KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU NA MPENDA MAENDELEO YA TAIFA LAKE NA KIZAZI CHAKE KUANZA KUMLAUMU MHE RAIS ANAPOCHUKUA HATUA DHIDI YA WATU KAMA HAWA?
MWL NYERERE ALIWAHI KUSEMA MTU AKIZOEA KULA NYAMA YA MTU ATAENDELEA TU KULA NYAMA MTU. MAFISADI NA MAJIZI NA HASA WASHAURI WABOVU WATAENDELEA TU KUFANYA MADUDU YAO. DAWA YA HAWA NI KUWACHUKULIA HATUA ZA HARAKA SANA NA KUWAWEKA NJE YA MFUMO.
KUIBADILISHA JAMII YA NAMNA HII KUNAHITAJI KWANZA KUJIUA MWENYEWE UNGALI BADO MZIMA. NI KAZI NGUMU SANA KUSHINDANA NA JAMII KAMA HII. RAIS DR. MAGUFULI ANATAKIWA APEWE PONGEZI SANA NA KUOMBEWA KILA KUKICHA KWA MASLAHI YA TAIFA LETU.
MIAKA ZAIDI YA MITANO AMBAYO WATANZANIA WENGI WAMEPOTEZA MAISHA KWA KUKOSA MADAWA MAHOSPITALINI, WANAFUNZI WAMEKOSA MIKOPO, WALIMU HAWALIPWI STAHIKI ZAO, MASHULENI HAKUNA MADAWATI NA BAADHI YA VITENDEA KAZI KUMBE TATIZO NI KWAMBA KUNA BAADHI YA WENZETU WANAKULA MISHAHARA YA WATUMISHI HEWA HALAFU TUENDELEE KUMLAUMU MHE RAIS DR. MAGUFULI ANAPOWATUMBUA WATU KAMA HAWA? UZALENDO WETU UPO WAPI HAPA KWA TAIFA LETU NA WATU WETU.
JE NDUGU ZANGU NI KWA VIPI TUME ZILIZOUNDWA TENA KWA KUTUMIA PESA ZA WALIPAKODI ZA WATANZANIA KWA DHANA YA KUFANYA UCHUNGUZI ZIMETUSAIDIA?
NI SHULE NGAPI ZINGEJENGWA AMA WATOTO WANGAPI WANGESOMESHWA KWA KUTUMIA HELA ZILIZOKUWA ZIKILIPWA KWA WATUMISHI HEWA ELFU SANA NA USHEE. LEO HII MHE RAIS AONEKANE MSALITI KWA KUKEMEA HAYA? ARE WE REAL SERIOUS MY FELLOW TANZANIANS? WHERE HAVE WE DONE WRONG TO OUR CREATOR, THAT HE HAS CASED US, THAT WE NEITHER KNOW WHAT WE DO NOR WE IDENTIFY OURSELVES THAT WE ARE WRONG.
SUALA LA SUKALI
NDUGU ZANGU NAOMBA NIANZE KWA KUSEMA WAFICHA SUKARI KTK MAGODOWN NI WAHUJUMU UCHUMI WA NCHI. KUMBUKA KILA UNUNUACHO LAZIMA KIKATWE KODI. JIULIZE TAN ZAIDI YA ELFU SABA ZILIZOFICHWA KTK MAGODOWN NI KIASI GANI CHA KODI KIMEFICHWA NA HAWA WENZETU?
SERIKALI ZOTE DUNIANI HUENDESHWA KWA KUKUSANYA KODI KUTOKA KTK MAUZO MBALIMBALI. NA IKUMBUKWE KWAMBA IKIWA SERIKALI ITASHINDWA KUKUSANYA KIDI KUTOKA KWA WAFANYA BIASHARA MTU WA KWANZA KUUMIA NI MFANYAKAZI MAANA KODI YAKE NI RAHISI KUIKUSANYA. SASA BASI UKIONA SERIKSLI INATOZA KODI KUBWA KWA WAFANYAKAZI JUA SERIKILI HIYO HAIKUSANYI KODI KUTOKA KWA VYANZO MBALIMBALI VYA MAPATO.
TANZANIA NI ZAIDI YA SISI TULIVYO. TUTAKUFA LAKINI TANZANIA ITABAKI. TUUNGANE KTK KUPIGANA NA WADHALIMU HAWA.
BY LUTENGANO NKANDA MWAKISALU