Nimeamini Magufuli ni Chuma yuko Ngangari hateteleki

Nimeamini Magufuli ni Chuma yuko Ngangari hateteleki

Kwenye ile hotuba mzee amekwama ishu ya Deomkrasia tu na Utawala Bora ila mengine yote ukiyaangalia ndiyo anapambana nayo..

Ukiisoma au kutazama ile video ukalinganisha na yanayoendelea aisee jiwe kajitahidi sana kusimamia maneno yake..

Afanyie kazi tu ishu ya utawala bora na aache demokrasia ifanye kazi mambo yawe mukide!
Demokrasia ipi unataka mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amewapa muda tu! watatajana wale wote wanaotusumbua.
 
Hivi hao anaowatumbua kwenye nyadhfa mbalimbali mnadhani ni CHADEMA? Hapana, hao ni CCM, tena vindakindaki, huyu Rais ni wakuunga mkono, sio kubeza hata kidogo.
Janja janja, ugodifaza hakuna kabisa.
 
Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma

Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa

Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo

Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza

Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa

Tunakuunga mkono mheshimiwa

View attachment 960210
Sio Chuma Ni JIWE
 
Indeed and Indeed!!!!!
 
Vip

Vipi kampeni zimeshaanza tujulishane tukafyeke jangwani maana wakuu wametingwa wamesahau kufyeka pale jangwani
 
Kweli.kwenye utawala wa sheria hajapakaza vema ila kwa maoni yangu na fikra zangu kuna jinsi atapafikiria
Watu wanaopiga kelele kuhusu utawala wa sheria ni wale wauzaji na wanunuzi wa haki. Wamebanwa hawawezi kuuza au kununua haki kwa uhuru kama awali.
 
Hizi thread nyingi nyingi zinafunguliwa kuna kitu au kichaa chake kimemzidia au amekata tamaa ya uongozi anaona mbele giza
 
Hivi hao anaowatumbua kwenye nyadhfa mbalimbali mnadhani ni CHADEMA? Hapana, hao ni CCM, tena vindakindaki, huyu Rais ni wakuunga mkono, sio kubeza hata kidogo.
Janja janja, ugodifaza hakuna kabisa.

Ni Tanzania tu kama itatokea wananchi waunge mkono fisadi jambazi liuuaji lifirisi nchi
 
Hizi thread nyingi nyingi zinafunguliwa kuna kitu au kichaa chake kimemzidia au amekata tamaa ya uongozi anaona mbele giza
Madaraka yalimzidi uwezo, akadhani anaweza kufokea kila mtu,anaweza kumwamlisha yeyote-sasa kuja kugundua kuwa kuna vitu hawezi,it was too late na nchi imeshaharibika-kavuruga mahusiano na mataifa rafiki,kavuruga biashara na mifumo ya biashara,kavuruga wafanya biashara,kaishi kwa uongo sana sasa shida inakuja kwenye kumaintain status
 
Madaraka yalimzidi uwezo, akadhani anaweza kufokea kila mtu,anaweza kumwamlisha yeyote-sasa kuja kugundua kuwa kuna vitu hawezi too late na nchi imeshaharibika-kavuruga mahusiano na mataifa rafiki,kavuruga biashara na mifumo ya biashara,kavuruga wafanya biashara,kaishi kwa uongo sana sasa shida inakuja kwenye kumaintain status

Ndio shida ya kukosa leadership skills and quality
 
Duh jamaa atakuwa anatala mvunguni koroshoow imekoroshooo
 
Kweli magufuri yuko ngangari kweli kwenye 2.4 tilioni , korosho na ndege za kusukuma na mkono .
 
Anaumia taratibu ndio maana kila Saa Ana hasira tu. Hapumziki ni kulala na mafaili, kutumbua watu jpili, usiku ni dalili za kukosa utulivu. KI psychologia Kuna shida ajiangalie raisi wangu anaweza kulipuka na vitu vingine vikaachia. Maisha yako simple tu na Yana muda maalum yakuishi. ENJOY MY PRESIDENT Huwezi kumaliza matatizo Yote kwa siku tu nahitaji mipango dhabiti na endelevu. Otherwise nakuombea
Best comment ever on 2019(January to February)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom