Nimeamini Magufuli ni Chuma yuko Ngangari hateteleki

Nimeamini Magufuli ni Chuma yuko Ngangari hateteleki

Kuwa imara na kitotetereka hakuwezi kuwa sifa boraya kiongozi , hata shetani hateyereki kuchota watuwa kwenda motoni tangu binadamu aumbwe. Maamuzi Sahihi kwa wakati husika ndiyo vinavyofanya nchi ipate maendeleo. Msifie kiongozi kwa hilo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma

Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa

Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo

Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza

Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa

Tunakuunga mkono mheshimiwa


View attachment 960210
CHUMA
 
"Hateteleki" maana yake nini mkuu,ulikuwa na maana ya "hatetereki?"
 
Vipengere vilivyotajwa amejitahidi anastahili pongezi lakini hili aboreshe zaidi vipengere hivyo swala la kuimarisha demokrasia lisipuuzwe maana ndio kipengere kinacho leta usawa bila ya upendeleo wala ubaguzi kwa watanzania wote
 
Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma

Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa

Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo

Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza

Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa

Tunakuunga mkono mheshimiwa


View attachment 960210
 
Ni chaguo la 'wadanganyika, tu! Huyu hata aombewe vipi Mungu ameshamkataa kabisa kama ilivyokuwa kwa mfalme Sauli ambaye slikubalika kwa Mungu lakini ulifika wakati hata Mungu alimchoka. Soma 1 Samweli 16:1 na kuendelea!
JPM ni chaguo la Mwenye Enzi Mungu walahi
 
Umeshapost kachukue posho yako ya kungurumisha kinubi na zumali
 
Mungu amsaidie mzee baba.. Na ajitahidi kupunguza kasi ya matumizi makubwa ya fedha au awabane zaidi mafisadi lakini mkwanja uteremke huku chini na kwa watumishi.. Amen!
Nam
 
Back
Top Bottom