Nimeamini Magufuli ni Chuma yuko Ngangari hateteleki

Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma

Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa

Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo

Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza

Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa

Tunakuunga mkono mheshimiwa
Rais Magufuli always ni Strongman
 
where is 1.5 Trillion??
 
Kwenye ile hotuba mzee amekwama ishu ya Deomkrasia tu na Utawala Bora ila mengine yote ukiyaangalia ndiyo anapambana nayo..

Ukiisoma au kutazama ile video ukalinganisha na yanayoendelea aisee jiwe kajitahidi sana kusimamia maneno yake..

Afanyie kazi tu ishu ya utawala bora na aache demokrasia ifanye kazi mambo yawe mukide!
Wewe ni mzalendo, penye kusifia unasifia penye kukosoa unakosoa.
 
Mungu amsaidie mzee baba.. Na ajitahidi kupunguza kasi ya matumizi makubwa ya fedha au awabane zaidi mafisadi lakini mkwanja uteremke huku chini na kwa watumishi.. Amen!
Tatizo ni mawili

1.Demokrasia
2.ubanaji sana uchumi lakin mengine yuko sawa
 
Kwenye orodha yako ongeza na haya:
  1. Kapiga 1.5 trilioni
  2. kalamba rambirambi za tetemeko kagera na kivuko mv nyerere
  3. anadhulumu mafao ya wastaafu
 
wazee mlio kwenye kamati ya kumusafisha JPM tupeane ajira hata mm niko vizuri kwenye propoganda!
 
Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma

Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa

Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo

Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza

Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa

Tunakuunga mkono mheshimiwa

Tsh. 1.5 trilion ziko wapi?
 
Hakuna binadamu anayeweza kukubalika kwa wote kwa sababu yeye sio pesa; na hakuna mwanadamu anayekataliwa na wote kwa sababu yeye sio waste product of human being.
 
Mungu amsaidie mzee baba.. Na ajitahidi kupunguza kasi ya matumizi makubwa ya fedha au awabane zaidi mafisadi lakini mkwanja uteremke huku chini na kwa watumishi.. Amen!
Mungu bariki maombi yetu jiwe atoke madarakani 2020 maana si kwa unyama huu nchini.
 
Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma

Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa

Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo

Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza

Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa

Tunakuunga mkono mheshimiwa
Mbona ameanza kuwaita hao mliosema ni mafisadi sasa imekuwaje au ni woga wa 2020 hadi kutafuta kolabo na watuhumiwa?
 
Back
Top Bottom