mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,790
Mpenz wangu/mke wangu akinisaliti kwa ajili ya pesa SITAMLAUMU.
mtego Wa pesa wanawake wengi wanashindwa kuutegua.
mtego Wa pesa wanawake wengi wanashindwa kuutegua.
Hata mi wamenibebea juzi juzi tu hapa..pumbav sanSiku zote mwenye pesa ni kama mfalme anaweza kupata marafiki wengi na kuchagua mwanamke yeyote anayetaka, kuna jamaa yangu mmoja tunakaa nae ameowa mwanamke mshombeshombe sio siri yule dada ni mzuri sana ameishi nae saizi takriban miezi saba, jamaa yangu yeye nimfanyabiasha wa mazao rejareja ananunua debe anauza rejareja na huyo mwanamke wake alimuanzishia biashara ya mkaa wameishi pamoja katika shida na raha lakini ametokea pedeshee mmoja mwenye pesa zake amemrubuni akamuacha jamaa na saizi amemuoa ,sio siri maisha ya yule dada yamebadilika sana kwa sasa anatembelea gari kali kweli na kakolea kweli kwa jamaa hasikii wala haoni, jamaa yangu amechizika hatamani kuoa tena
Kweli nimeamini pesa inapenyeza sehemu yeyote ile jamani wanaume tutafute pesa wakuu
aliye niibia..Hiyo ni mentality mbaya. What happen ni kuwa demu mwenyewe hakuwa na msimamo na hakumpenda mchizi. Kilitokea ni kwamba, huyo dem alikuwa anatafuta unafuu wa maisha... na amekutana na kwa vile jamaa ameshindwa, basi katokea mtu aliyepanda dau dem kaenda.Siku zote mwenye pesa ni kama mfalme anaweza kupata marafiki wengi na kuchagua mwanamke yeyote anayetaka, kuna jamaa yangu mmoja tunakaa nae ameowa mwanamke mshombeshombe sio siri yule dada ni mzuri sana ameishi nae saizi takriban miezi saba, jamaa yangu yeye nimfanyabiasha wa mazao rejareja ananunua debe anauza rejareja na huyo mwanamke wake alimuanzishia biashara ya mkaa wameishi pamoja katika shida na raha lakini ametokea pedeshee mmoja mwenye pesa zake amemrubuni akamuacha jamaa na saizi amemuoa ,sio siri maisha ya yule dada yamebadilika sana kwa sasa anatembelea gari kali kweli na kakolea kweli kwa jamaa hasikii wala haoni, jamaa yangu amechizika hatamani kuoa tena
Kweli nimeamini pesa inapenyeza sehemu yeyote ile jamani wanaume tutafute pesa wakuu
Man almost initokee hiyo kitu but nika bale out mapema. Nisikufiche kaka maumiv yake hayaelezeki, youknow si haki but you cant do anything. Unabaki kutazama tu..Aloooh dah hamna kitu kinauma kama pesa ikitumika kufanya dhulma ya aina yeyote ile. Its amongst the deadliest pains that a man could ever face in his entire life.
Pesa shetani jamani, what a life unanyang'anywa mke and you won't do shit maana nguvu iliotumika ni ya pesa na wewe huna sio rahisi.
Ni kwwli kabisa man. Maybe anaweza kuwepo kushuhudia that end or not. But whatever it is huwa wanashuka viwango viwango mwishon na kuish maisha ya ajab sana.Trust me, wanawake wa hivyo mara nyingi mwisho wao huwa sio mzuri, mwanzoni atafaidi kidogo ila mbeleni atajuta, am talkin from experience, wengi wanaishiaga kuambukizwa ukimwi, kutolewa kafara, kuombwa kinyume na maumbile bila ridhaa yao, kupewa maneno ya gubu yanayouma kisa pesa wanazopewa, kunyanganywa vitu na kuachwa (its worse kama alishajijengea status flan ya juu kifedha kwenye jamii) CUBICBOY
Hahahahaaa.. halafu hao ndo wakija mtaani wanajifanya kutufundisha kupambana kwamba alianza na mkaa mpaka kupush gari kali kumbe kapewaHuyo dada fighter sana yani kutoka kwenye mkaa hadi kupush ndinga.. hongera zake
Sisi weusi mkuuHapo kwenye red,kwahiyo mwanamke wa aina ipi ndio anafaa kuuzishwa mkaa?

Duh! Aiseee!!Sisi weusi mkuu![]()
Kweli tupuMpenz wangu/mke wangu akinisaliti kwa ajili ya pesa SITAMLAUMU.
mtego Wa pesa wanawake wengi wanashindwa kuutegua.
Hahah... basi na wenzie wanaona maisha kumbe rahisi tu ata wao wanaweza kumbe siri ya mchezo anajua yeye mwenyewe..Hahahahaaa.. halafu hao ndo wakija mtaani wanajifanya kutufundisha kupambana kwamba alianza na mkaa mpaka kupush gari kali kumbe kapewa
hamini usihaminiHamini usihamini pesa ndio kila kitu!

Morning L... Akili yangu inaniambiaga ni wewe (L) sijui n kweliHahahaaa life is too short
Dah hongera sana man, la sivyo tungekuwa tumebaki na simanzi tu hadi sahivi!Man almost initokee hiyo kitu but nika bale out mapema. Nisikufiche kaka maumiv yake hayaelezeki, youknow si haki but you cant do anything. Unabaki kutazama tu..