Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Na hapo unatakiwa uwe makini,ukiruhusu stress na mawazo mengi unapoteza kila kituAloooh dah hamna kitu kinauma kama pesa ikitumika kufanya dhulma ya aina yeyote ile. Its amongst the deadliest pains that a man could ever face in his entire life.
Pesa shetani jamani, what a life unanyang'anywa mke and you won't do shit maana nguvu iliotumika ni ya pesa na wewe huna sio rahisi.