Nimeamini kweli pesa ndo kila kitu

Nimeamini kweli pesa ndo kila kitu

Hahahahaaa.. halafu hao ndo wakija mtaani wanajifanya kutufundisha kupambana kwamba alianza na mkaa mpaka kupush gari kali kumbe kapewa
hhhh tena anatoa na inspiration za mafanikio kabisa...
 
Pole yake sana, hawa viumbe sio wakuamini 100%

Japo wenye msimamo wapo, lakini wa chache sana,

Ukitaka kupata raha ya ndoa na demu mkali kama malaika na huna kitu(pesa) basi demu akupende wewe na sio eti umempenda wewe kuliko yeye ujue kabisa ipo siku utalia au kujuta
 
Cha ajabu sasa huyo shombeshombe penzi likishakinai kwa huyo mdosi ataanza tena kugondwa na wachimba chumvi, pesa haijawahi kuwa solution ya kila kitu jombaa
 
Polee sana mkuu kwa yaliyokukuta, kama vipi na wewe tafuta mnyonge ummegee!
 
Pole yake sana, hawa viumbe sio wakuamini 100%

Japo wenye msimamo wapo, lakini wa chache sana,

Ukitaka kupata raha ya ndoa na demu mkali kama malaika na huna kitu(pesa) basi demu akupende wewe na sio eti umempenda wewe kuliko yeye ujue kabisa ipo siku utalia au kujuta
hata akikupenda yeye haitosaidia kitu ..kama wote hamna Pesa ...ni bora akupnde yeye huku akiwa anapesa zake ...lakini kama anakupnda then Pesa hana na wewe huna ..daahhh tarajia maumivu maana upendo wa mwanamke hauna tofauti na mwili wa kinyonga ama pweza ....
 
Siku zote mwenye pesa ni kama mfalme anaweza kupata marafiki wengi na kuchagua mwanamke yeyote anayetaka, kuna jamaa yangu mmoja tunakaa nae ameowa mwanamke mshombeshombe sio siri yule dada ni mzuri sana ameishi nae saizi takriban miezi saba, jamaa yangu yeye nimfanyabiasha wa mazao rejareja ananunua debe anauza rejareja na huyo mwanamke wake alimuanzishia biashara ya mkaa wameishi pamoja katika shida na raha lakini ametokea pedeshee mmoja mwenye pesa zake amemrubuni akamuacha jamaa na saizi amemuoa ,sio siri maisha ya yule dada yamebadilika sana kwa sasa anatembelea gari kali kweli na kakolea kweli kwa jamaa hasikii wala haoni, jamaa yangu amechizika hatamani kuoa tena
Kweli nimeamini pesa inapenyeza sehemu yeyote ile jamani wanaume tutafute pesa wakuu
Jamaa wa mazao alikuwa wapi kumzalisha huyo shombe shombe?? Unapiga mimba, kisha anatulia.
 
FB_IMG_15059861916406308.jpeg
wakati wewe ukiamini Hivyo, Kuna wengine wanapata shida Katika familia hizo za Pesa. Kwa hiyo ni 50 Kwa 50, Mungu hakuwa Mjinga Kuweka madaraja Katika Maisha yetu alikuwa Na maana Sana.
 
Back
Top Bottom