Nimeamini kweli kuna wanawake wana bahati

Nimeamini kweli kuna wanawake wana bahati

Hyo 48 ni nauli ya kurudi 40k nauli elfu 8 hela ya kula njiani
Kijana wewe bado ni fukara. Hiyo 48k ni kama mabao 16 kwa bei elekezi ya Tsh 3k pale Buguruni kama shida ni nyege. Mabao 16 ni bajeti ya mabao ya wiki nzima. Kama unabana bajeti ni mabao ya wiki 2 hayo. Achana na mwanamke anayekomba pesa zako unazopata kwa shida. Au unataka kuendelea kuwa fukara?
 
Hatimae umejua sasa,uanze kumtamkia maneno mazuri sio yale ya kitandani

hapana hata huku nnje kuna kauli zenu ni tam sana zinaleta baraka tu katika mapambano.
Asante kwa taarifa mkuu...ngoja nianze kufanyia kazi šŸ˜ŠšŸ¤—
 
Kwema?

Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu.

Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko vibaya daah akaniambia ataniombea mpaka jioni nitapata hyo hela huwezi amini kabla ya kufika jioni nilipata kama 150k nikamtumia 40k jioni.

Siku nyingine akaniambia anataka kuja kunisalimia nikamuambia njoo hapo nilikua na back up ya elfu 90 tuu nauli yake ni 45k nikamtumia 53k akaja nikawa na kama 37k tuu kama back up kakaa kwangu week huwezi amini nilikua napata hela mpaka nikapata na nauli ya kumpa nikampa 48 mimi nikabaki na elfu 2 tuu akarudi daah kuna mtu nilikua namdai laki moja akanitumia daah nikashangaa saana.

Kila nikimuambia mipango yangu inatiki na akiniomba hela nikimpa lazima nipate hela

Kila baada ya siku 3 namuumgiaga kifurushi cha 3000 na sijawahi kuishiwa ,

Hitimisho kama ni maendeleo nimesogea sana na kiwanja shanunua kibaha 3m yaani mambo ni mengi mpaka nashangaa aisee.

Huyu hata aki ni cheat simuachi.
Vp hana mdogo wake unisambazie upendo mkuu? Na mimi nipite pite kwenye chalk kidogo
 
Kinyume chake pia ni true. Kuna mademu wakiingia kwenye maisha yako yaani kila kitu kinaenda kushoto.

Nadhani kwa wanawake pia, kuna wanaume wakiingia kwenye maisha yao yao wanaendewa vizuri na maisha.
 
Oa haraka sana. Utajenga utahamia, utamfungulia kigenge na baadae duka. Nisikilize mimi
Aaah nyota njema,Pana wengine ukioa mikosi tupu utafukuzwa kazi, biashara itafilisika,ugomvi usioisha ndani,hadi ujue Siri ili uanze upya ushateseka sana.
 
Wajuao Siri hizi awaingilii hovyo kwenye ndoa thus Pana familia au ukoo wao mambo Yao Huwa super tu siku zote
 
Back
Top Bottom