Nimeamini kweli kuna wanawake wana bahati

Nimeamini kweli kuna wanawake wana bahati

Wewe bado una hali ngumu sana. Hizo hela unazozipata kwa tabu zitunze kwasababu hapo ni kama unajaza maji kwenye gunia. Unapata 50k unampa 48k na unabakiwa na 2k halafu unamsifia? Huyo demu ni mnyonya damu. USIMPE HELA pia acha kujiaminisha upumbavu kwamba yeye ndo anasababisha upate hela.
Nimejikuta nashangaa sana..
 
Wanawake wenye bahati wapo...
Kuna wengine akinuna Tu anakuletea kisirani ...akifurahi Tu kisirani kwenye mishe mishe zako zote linaisha..
Mimi Mwanamke wangu naona kama hana bahati, Kwasababu nikiwa nime betting akaniomba pesa tu mkeka wangu una kufa.
 
KUna watu huwa wanauhitaji wa kweli kabisa. Kutokana na maisha waliyonayo! Hana support akikuomba ww ujue anamaanisha sasaa mtu kama huyo uukimpa tayari unakua ushafanya kazi ya Mungu! Mungu amejibu maombi yake kupitia ww tazama Mungu namna atakavyokujazia! Na unakuta binti ni mchaMungu anaomba anakuombea kwanini isiwe win win situation!
NA ukimnyima ilihali umepata zitapeperuka zote kwa mambo ambayo yatazuka tu! Heri ww umeshtukia wengine wanakazaga fuvu
 
Back
Top Bottom