Nimeamini kweli kuna wanawake wana bahati

Kwema?

Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu.

Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko vibaya daah akaniambia ataniombea mpaka jioni nitapata hyo hela huwezi amini kabla ya kufika jioni nilipata kama 150k nikamtumia 40k jioni.

Siku nyingine akaniambia anataka kuja kunisalimia nikamuambia njoo hapo nilikua na back up ya elfu 90 tuu nauli yake ni 45k nikamtumia 53k akaja nikawa na kama 37k tuu kama back up kakaa kwangu week huwezi amini nilikua napata hela mpaka nikapata na nauli ya kumpa nikampa 48 mimi nikabaki na elfu 2 tuu akarudi daah kuna mtu nilikua namdai laki moja akanitumia daah nikashangaa saana.

Kila nikimuambia mipango yangu inatiki na akiniomba hela nikimpa lazima nipate hela

Kila baada ya siku 3 namuumgiaga kifurushi cha 3000 na sijawahi kuishiwa ,

Hitimisho kama ni maendeleo nimesogea sana na kiwanja shanunua kibaha 3m yaani mambo ni mengi mpaka nashangaa aisee.

Huyu hata aki ni cheat simuachi.
Kwahy mama yako mzaz hana bahati mpka uje umsifie huyo manz yako kwa nguvu zako mwenyewe unazotafuta pesa
 
Mwambie unataka kumpiga kanja Million 200 kwenye bet tuone Kama utatoboa.
 
Kwema?

Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu.

Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko vibaya daah akaniambia ataniombea mpaka jioni nitapata hyo hela huwezi amini kabla ya kufika jioni nilipata kama 150k nikamtumia 40k jioni.

Siku nyingine akaniambia anataka kuja kunisalimia nikamuambia njoo hapo nilikua na back up ya elfu 90 tuu nauli yake ni 45k nikamtumia 53k akaja nikawa na kama 37k tuu kama back up kakaa kwangu week huwezi amini nilikua napata hela mpaka nikapata na nauli ya kumpa nikampa 48 mimi nikabaki na elfu 2 tuu akarudi daah kuna mtu nilikua namdai laki moja akanitumia daah nikashangaa saana.

Kila nikimuambia mipango yangu inatiki na akiniomba hela nikimpa lazima nipate hela

Kila baada ya siku 3 namuumgiaga kifurushi cha 3000 na sijawahi kuishiwa ,

Hitimisho kama ni maendeleo nimesogea sana na kiwanja shanunua kibaha 3m yaani mambo ni mengi mpaka nashangaa aisee.

Huyu hata aki ni cheat simuachi.
Acha kuvuta ugoro utaishia kupelekwa lutindi korogwe
 
Tunawaambia mnakaa kuna mademu ni malaika wa pesa
 
Ukiona kila unalofanya linafanikiwa ujue siku yako ya PARAPANDA imekaribia. Hayo ndio MAOKOTO yako ya mwishomwisho ya bajeti yako uliyowekewa hapa chini ya jua.

okoka haraka sana
Ukiokoka ndio unaepuka Parapamba?
 
Mtoa mada tafuta helo hizo amount unazotaja zinaonyesha umaskini yabisi
 
Nilichoona kwako wewe n Mpambanaji,hayo mengine ni nyongeza tu.

Mpambanaji hakosi,na zaidi anapata akiwa na mwanamke asiempresurize.

Mwanamke unamwambia Huna,anakuelewa..Hupati mawazo lazima mambo yatiki kwasababu hufanyi kazi kama una deni.

ila hao wengine usipompa anaongea au asipoongea atakuacha na jibu ambalo hata utafuteje kuipata shilingi ni mbinde..
Unaweza pambana na usipate
 
Sio wanawake tu hata wanaume wapo wengine wana gundu sana ukidate nae tu hakuna jambo lako litaenda Sawa na kama kulikuwa kuna vitu vyako vinaenda poa vinaanza kuyumba yani unakuta hata kutongozwa hutongozwi
 
Back
Top Bottom