Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,865
- 89,790
Ukimpa hiko kiwanja mambo yataenda chap zaidiHapana nitajenga alafu nitaishi nae
Ukimpa hiko kiwanja mambo yataenda chap zaidiHapana nitajenga alafu nitaishi nae
Kwani kapoteza?Unampa Demu 53 nauli 45 .
So asile njiani.
Asibaki na akiba yoyote .
Unamdai mwanamke laki.
We mwanaume Tafuta hela
Sitakufa bali nitaishi nikiyasimulia matendo ya Bwana.Ukiona kila unalofanya linafanikiwa ujue siku yako ya PARAPANDA imekaribia. Hayo ndio MAOKOTO yako ya mwishomwisho ya bajeti yako uliyowekewa hapa chini ya jua.
okoka haraka sana
Muacheni kwanza kijana jamani 😂😂😂Wewe bado una hali ngumu sana. Hizo hela unazozipata kwa tabu zitunze kwasababu hapo ni kama unajaza maji kwenye gunia. Unapata 50k unampa 48k na unabakiwa na 2k halafu unamsifia? Huyo demu ni mnyonya damu. USIMPE HELA pia acha kujiaminisha upumbavu kwamba yeye ndo anasababisha upate hela.
Muda huo mleta mada kamaliza ghorofa 😅Pale mchumba atakapouza uwanja na kupotelea kusikojulikana😃😃
Ngoja muda wa kutupiliwa dongo ndio utajua vizuriSitakufa bali nitaishi nikiyasimulia matendo ya Bwana.
Hyo 48 ni nauli ya kurudi 40k nauli elfu 8 hela ya kula njianiWewe bado una hali ngumu sana. Hizo hela unazozipata kwa tabu zitunze kwasababu hapo ni kama unajaza maji kwenye gunia. Unapata 50k unampa 48k na unabakiwa na 2k halafu unamsifia? Huyo demu ni mnyonya damu. USIMPE HELA pia acha kujiaminisha upumbavu kwamba yeye ndo anasababisha upate hela.
na gari kashanunua🤣🙌Muda huo mleta mada kamaliza ghorofa 😅
Mchotee kiasi kidogo kwenye mchinjo wa bajeti wewe kama MamaSamia2025Wewe bado una hali ngumu sana. Hizo hela unazozipata kwa tabu zitunze kwasababu hapo ni kama unajaza maji kwenye gunia. Unapata 50k unampa 48k na unabakiwa na 2k halafu unamsifia? Huyo demu ni mnyonya damu. USIMPE HELA pia acha kujiaminisha upumbavu kwamba yeye ndo anasababisha upate hela.
Hata wewe utakufaNgoja muda wa kutupiliwa dongo ndio utajua vizuri
Naomba wasije kuachana 🤞na gari kashanunua🤣🙌
Siku nyingine tuma nauli tu. Apande gari akiwa ameshakulaHyo 48 ni nauli ya kurudi 40k nauli elfu 8 hela ya kula njiani
Mimi sinq gari wala piki piki ila mda utazungumzana gari kashanunua![]()
kuna wanawake wanakauli zakukufanya unakua weak siku nzima,neno 1 tu anavuruga kila kitu.Jamani😃😃😂😂😂
Kwakweli wafe na kuzikana pamoja🤗Naomba wasije kuachana 🤞
nlikua sijui kabla 😊kuna wanawake wanakauli zakukufanya unakua weak siku nzima,neno 1 tu anavuruga kila kitu.
na kuna wanawake wanajua kumotivate bana,siku nzima unafanya kazi hata usipopata hela unajiona una hela.
Formula ya maisha sio lazima iwe 1+1=2Mpambanaji ni yupi huyo...?
kuna watu wanapambana sana na hawapati michuzi