Nimeamini kwamba ugeni sio kitu kizuri

Nimeamini kwamba ugeni sio kitu kizuri

Adam waTZ

Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
83
Reaction score
9
Ukifika sehemu ngeni tafuta kwanza wenyeji wakutamburishe yaani leo yamenikuta hapa hapa jamii forum baada ya kuchanganya maada eti maada kuhusu punyeto nimeiweka katika international forum dah nimechekwa sana na nimejifunza nimeelewa ila daah ugeni noma so nitembezeni niyajue mazingira ya jamii forum.
 
Karibu sana Jamii forums mie ndo Maria Roza mama wa wakubwa :second:
 
Usijali.. umefanya hio mistake hali mgeni... wengine humu humu hufanya na ni wenyeji...
Na hio topic ulopost naona wewe utakua mwana MMU halisi...

Karibu saana... Enjoy...
 
Karibu sana, mie ndio selebriti namba 1 wa JF kwa sasa, mpaka zitakapopigwa kura tena.
 
Karibu sana, mie ndio selebriti namba 1 wa JF kwa sasa, mpaka zitakapopigwa kura tena.

You neva fail to amaze me.. i sincerely second the motion... NUMBER ONE CELEBRITY...
 
Jamani asanteni kwa ukarimu wenu naamini ntainjoy sanaaaaa! Sababu unapoingia sebureni kwa mtu ukakuta hamna makochi basi jua chumbani hakuna kitanda ila sebureni kwa jf kunapendeza sana bila shaka chumbani vitanda vipo vingi tu. Ila majina yananitisha sana mara chatu dume,mbongopopo,womanizer hivi kuna usalama kweli? Kuna amani kweli? Nina hofu na majina hayo duuuu!!!!!!
 
Ahahahaah!! Majina yasikutishe mbona ya kawaida?
 
Hahahahahaha lok
Samahani kwa kucheka imenibidi lakini
Dahhhh ni tumie PM private message
Kama wataka kujua lolote...
 
Back
Top Bottom