Nimeamini kwamba ugeni sio kitu kizuri

Nimeamini kwamba ugeni sio kitu kizuri

Adam waTZ

Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
83
Reaction score
9
Ukifika sehemu ngeni tafuta kwanza wenyeji wakutamburishe yaani leo yamenikuta hapa hapa jamii forum baada ya kuchanganya maada eti maada kuhusu punyeto nimeiweka katika international forum dah nimechekwa sana na nimejifunza nimeelewa ila daah ugeni noma so nitembezeni niyajue mazingira ya jamii forum.
 
kwenye kale kamchezo ulisukumia mpira wapi siku ya kwanza? Usije ukawa ulikuwa unagombambana na paji la uso la mwenzako
 
Kuku mgeni kamanda hakosi kamba mguuni, na kukosea ndo kujifunza

Hata Mbuzi mgeni hakosi kamba shingoni hahahah lol! Karibu mgeni please feel at home...karibu sana 🙂
 
Ulikuwa na haraka sana kwa kuwa una-imind punyeto ndo ushindwe hata kubisha hodi.

karibuuuuuuuuuuuu.
 
Duuuuuh kweli uliingia choo cha kike! Taratibu tu utaelewa si unaona umeweza hata kuanzisha thread.
 
kwenye kale kamchezo ulisukumia mpira wapi siku ya kwanza? Usije ukawa ulikuwa unagombambana na paji la uso la mwenzako

............mkuu polepole yotee hayo yawezekana,...........................Adam wa Tz karibu sana......
 
Back
Top Bottom