Pipilomomo
Senior Member
- Feb 24, 2023
- 113
- 194
Malizia story basi 🙄🙄Niliwahi kukutana na mmoja ana mizimu, skumoja ikapanda wakati napiga show..... mkuu yani sikuangalia cha mizimu wala majini, miniliendelea kugonga show kilicho nikuta sinto kaa nisahau...😜😜