Nimeachwa..

Nimeachwa..

Mkuu mbona kakupa nafasi yakua bora than ulivyokua jana

Kakupunguzia gharama zisizokua za lazima kama vile mitoko,kumtumia credit , vizawad vya kushtukiza ,na kupoteza mda mwing bila kufanya cha malengo

Kwasasa jikite zaid ktk kukamilisha malengo yako ya kimaendeleo the right one will come along

Don't ever try to bring her back it will be even more painfull nautampa yeye zaid comfidence yakuona you can't survive without her

So its upon to you to continues engaging with her and make ur self a real loser or moving on......
ubarikiwe kaka
 
hahahahahahaha hiyo Baba ilikua Jana..leo nipo sawa
Huwezi kuwa sawa kirahisi hivi kuachwa inachukua kama mwezi hivi kupona angaika kuomba msamaha usikate tamaa mtu wangu. Wenge la kuachwa ni baya sana hapo ulipo kama nakuona moja haikai mbili haikai
 
Always we make mistake at once hii inatupa akili ya kumpata sahihi ajae mbele brother ukimpata mtu sahihi ndo utajua kwanin she let you go!
 
Sasa si ulikuwa unampiga that why... ?? Mwanamke hapigwi brother....
ndugu kwnye love unaweza kufanya Kila kitu,care,love..and ua ziada..but kama mapenzi yamefika mwisho..mnaachana..
 
Ni chek pm nina dawa zakuongeza nguvu mkuu....mwanamke unaemchapa sawasawa hawez kukuacha,,,ukitaka na vumbi la congo nichek hahaha
 
Pole sana! Ni maumivu ya muda tu, baada ya muda yataisha na utakuwa mwenye furaha pengine kuliko hata ulivyokuwa naye.

Jitahidi kujichanganya na watu pia uchoshe mwili kwa kazi au mazoezi. Mwisho kabisa kula/nenda/fanya kile kinachokufurahisha zaidi.
 
that is my Thad
 
Huyu ndio yule jirani nini? Mzee wa Aslay
 
Mkuu, haki mi nawewe tunagundu, mi mwenyewe leo mkeka WA mapenzi umechanika...
2018-03-08%2010.52.35.jpg
 
Jinyonge hahahah
Ama tafuta demu mkali zaidi yake
Muwekee kwa dp whatsap
Andika maneno ya kumsifia huyo mpya
hhahahahaha
Ukiachwa shukuru Mungu, kama unakunywaga soda kunja nne kunywa zako
Tafakari kwann umeachwa
Mwisho mshukuru Mungu wako maisha yasonge
 
Kuna jamaa alikula andazi moja kwa siku tatu baada ya kuachwa... Chakula hakishuki yani.
All in all pole sana aisee, binafsi ilinichukua miezi minne mpaka kuwa sawa. Ila ndani ya hiyo miezi nilifanya mambo yangu binafsi ya kimaendeleo ili kujaribu kupunguza yale machungu na nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Kama ulikua na mpango wa kununua gari,kiwanja,kujenga,biashara basi huu ndo muda wake, fanya kama unajipongeza mwenyewe.
GOODLUCK!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom