Nimeachwa..

Nimeachwa..

Hata mimi nimeachwa na basi hapa korogwe, lakini sina huzuni kabisaaa. Mabasi si yako kibao tu, nitapakia lingine kesho, kwanza hili liloniacha wala sio zuri kivileee, kesho nitachagua basi kali la ukweli. Bahati nzuri sijaacha mzigo wangu nikonao mgongoni. ALAMSIKI.
 
Jinyonge hahahah
Ama tafuta demu mkali zaidi yake
Muwekee kwa dp whatsap
Andika maneno ya kumsifia huyo mpya
hhahahahaha
Ukiachwa shukuru Mungu, kama unakunywaga soda kunja nne kunywa zako
Tafakari kwann umeachwa
Mwisho mshukuru Mungu wako maisha yasonge
nijidanganye kua nipo sawa??hahaha
 
Just ignore her, nenda mahali tafuta demu mkaliiii kuliko yeye, pita nae mitaa aliyopo na uhakikishe amekuona..nenda kwako usubiri mrejesho
 
Hahahaha
Ukute ndio mwenyewe, yamesha mshinda, halaf umempa bonge ya ushari
Ngoja nisikilizie kama leo tena Asley atahusika, wimbo usipopigwa nitajua ndo yeye na ameshasoma maujanja mliyompa jana
 
Jinyonge hahahah
Ama tafuta demu mkali zaidi yake
Muwekee kwa dp whatsap
Andika maneno ya kumsifia huyo mpya
hhahahahaha
Ukiachwa shukuru Mungu, kama unakunywaga soda kunja nne kunywa zako
Tafakari kwann umeachwa
Mwisho mshukuru Mungu wako maisha yasonge
Duuh! Mbona unaonekana tukio la mwenzio kuachwa wewe umelifurahia?
Hahaa!
 
Duuh! Mbona unaonekana tukio la mwenzio kuachwa wewe umelifurahia?
Hahaa!
Huo ni mtazamo wako Mkuu, wapi ulipoona nmefurahi ama umesoma nusu na robo, soma hadi mwisho uone kama sijamshauri halaf pia sio lazima wote tuwe na wazo moja
 
Ngoja nisikilizie kama leo tena Asley atahusika, wimbo usipopigwa nitajua ndo yeye na ameshasoma maujanja mliyompa jana
We mskilizie baadaye ulete mrejesho
Ila umetoa bonge ya ushauri, ume ukopi kwa nani ule?
 
Huo ni mtazamo wako Mkuu, wapi ulipoona nmefurahi ama umesoma nusu na robo, soma hadi mwisho uone kama sijamshauri halaf pia sio lazima wote tuwe na wazo moja
Skuwa na maana mbaya but umeanza kwa kucheka umecheka twice kwenye msg yako mi nikajua ni kicheko cha kufurahi, sku jua kama ulicheka kwa kusikitika au kwa kulia au whatever.

Wala nlikuwa sijakulaumu na sja sema kama hujatoa ushauri kwakuwa nimeuona. Uspanic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom