Nimeachwa..

Nimeachwa..

Skuwa na maana mbaya but umeanza kwa kucheka umecheka twice kwenye msg yako mi nikajua ni kicheko cha kufurahi, sku jua kama ulicheka kwa kusikitika au kwa kulia au whatever.

Wala nlikuwa sijakulaumu na sja sema kama hujatoa ushauri kwakuwa nimeuona. Uspanic
Sijapanic,ila ww ndo unajua kicheko kina maana moja tu, kuachwa tunaachwa wengi tu mbona na maumivu yake nayajua siwezi kufurahia hilo
 
Tena kama mm nahisi kabisa hii Ni Karma..kabla ya hapo sikua na treat vizuri girls..huyu ndo WA kwanza kuniumiza..wengine wote walikua wanalia wao.am fvvkd up
Yani huyo lazima kapata bby mwingine. Poleni mwaya ila na nyie muumie kidogo huwa mnatuumiza sana.
 
Sijapanic,ila ww ndo unajua kicheko kina maana moja tu, kuachwa tunaachwa wengi tu mbona na maumivu yake nayajua siwezi kufurahia hilo
Mwanaume alikuwa anakujali,kwenye furaha mpo wote,,huzuni mpo wote,maenzi anajua kwanini usiumiee achana na wapitaji hata roho huwa haiumi
 
A
Mwanaume alikuwa anakujali,kwenye furaha mpo wote,,huzuni mpo wote,maenzi anajua kwanini usiumiee achana na wapitaji hata roho huwa haiumi
Acha tu kipenzi waweza jikuta unaongea pekee yako barabarani, mapenzi yanauma mnoooooooo sitaki hata kukumbuka
 
Kuna jamaa alikula andazi moja kwa siku tatu baada ya kuachwa...ako Chakula hakishuki yani.
All in all pole sana aisee, binafsi ilinichukua miezi minne mpaka kuwa sawa. Ila ndani ya hiyo miezi nilifanya mambo yangu binafsi ya kimaendeleo ili kujaribu kupunguza yale machungu na nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Kama ulikua na mpango wa kununua gari,kiwanja,kujenga,biashara basi huu ndo muda wake, fanya kama unajipongeza mwenyewe.
GOODLUCK!!!
jina lako nimelipenda..haha unanikumbusha Enzi zangu za computing
 
Sijapanic,ila ww ndo unajua kicheko kina maana moja tu, kuachwa tunaachwa wengi tu mbona na maumivu yake nayajua siwezi kufurahia hilo
But we icheki msg yako ilivo anza
"Kajinyonge hahahaa" cmoon hii haiwezi kuwa gesture ya masikitiko. Nadhan sja ku mis understand ila wewe uli mispresent.

Lakini yaishe ndugu.
I shouldnt have said what i said
 
Au Ni yeye

Hata msibani utani upo hatuwezi nuna muda wote sababu tumefiwa
 
Niliwahi kuiona humu humu hii (((Mshukuru Mungu na furahia kwa kua kakuonyesha mapema kua huyo si chaguo lako kabla hajakuumiza zaidi baada ya kufunga ndoa)))
Mwisho wa kunukuu
 
Hahah, ndio mkuu
Aaah wimbo wenyewe nimeufutilia mbali wa kejeli tu
Hahaha
Huyo kweli alikuwa kiungo adimu.

Ila kakuacha kikatili, fanya bas mpango na mimi niujue maana nahisi ntaachwa ndani ya wiki mbili hizi, nataka niujue incase ntatumiwa.
 
I'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
If its your first heartbreak no way out go through it utamsahau Tuu kila ka sio ur first heart break utakua ni faara saana.
 
Hata msibani utani upo hatuwezi nuna muda wote sababu tumefiwa
Lakini msibani hatumtanii marehemu tuna watania wafiwa sasa wewe umemtwabga alo fariki mwenyewe lazma istushe kdogo, na pia lazima mtoa utani a present utani wake in the sense watu wajue kuwa ni utani tuu.

Mi sja kulaumu, ila imebid nitolee. Maelezo kwa nilicho kielewa maana nliona kama una kuja juu kdogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom