Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,886
- Thread starter
- #101
Thanks kivuruge girl time will heal me..sababu sijajua
Why kakuacha? Take time and relax, jichanganye na marafiki, fanya mazoezi na epuka kukaa peke yako. Mwisho mshukuru mwenyezi Mungu maana hujui amekuepushia nini. Japo itakuumiza kwa muda but after sometimes utakuwa poa. Maisha yataendelea tu