Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
What a wise words..thanks mpendwa maneno yako yanafariji sana and kama unaishi hivi..I bet unanguvu sana emotional... na kama sivyo una nguvu ya kuongea na wengine,kufariji..thanks mkuu
Karibuu....
What a wise words..thanks mpendwa maneno yako yanafariji sana and kama unaishi hivi..I bet unanguvu sana emotional... na kama sivyo una nguvu ya kuongea na wengine,kufariji..thanks mkuu
That is normal in life. Accept the reality and move on with your life.I'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
Na wewe mwache. Hapo Ngoma drawI'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
Nimegundua ana cheat na jamaa,kufatilia kumbe hawajaanza Leo,wala Jana.kumuuliza girl anasema yeah.. Umechelewa kujua..nkatengeneza mazingira aniombe msamaha,akawa hana habari..kumwambia tuachane..ikawa kama habari njema kwake..tho sikua tayari,wala kupanga tuachane..DAMN
Pole mkuu!wanaotoa ushauri WA kutia moyo
Pole mkuu!
Ukiachwa nawe muache zaidi
kwan sikuhz wameruhusu kunywa vilevi mchana?Pole mkuu!
Ukiachwa nawe muache zaidi
We Dada uliyemuacha Mungu anakuona watu wanavohangaika ivo pole mkuu utapata zaidi yake
f*k up yoselfI'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
Kwann mkuu? Hapa kuna single maza ananikubali kichiziit was a wrong choice !
keep trying another choice !
but is gambling..
ila ogopa pia mwanamke anaetafuta faraja baada ya kutendwa, hapo mwanaume unakua sawa na henkachifu.
Una akili sana mkuu, umemng'amua mapema jamaaMbona huu mtego ulishawahi kufunguliwa thread humu ndani?,we bado unatumia mbinu hiyo hiyo mkuu au mgeni wewe?