Nimeachwa..

Nimeachwa..

pole broo !
it was a wrong choice !
pengine uliforce mahusiano, au mpunga umekuishia, au ulikua kicheche hali umeoa, au ulikua na kauli chafu, au kuna mkono wa sangoma..
whatever the case, there is a reason n you know it, work on it for the next relation..
 
I'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?

Well come to our team bro... Love yourself (first principle). Mengine yatajikoki maisha lazima yaendelee
 
Dont make this mistake of rebound love.

Dont hold on to the pain of reject though. Accept it, learn from it then you can move on.

Just dont let it be too soon. And dont heed to those telling you to be a player.
I won't be a player..I wont play myself..ill just find someone that knows what is love..
 
pole broo !
it was a wrong choice !
pengine uliforce mahusiano, au mpunga umekuishia, au ulikua kicheche hali umeoa, au ulikua na kauli chafu, au kuna mkono wa sangoma..
whatever the case, there is a reason n you know it, work on it for the next relation..
Niki force mahusiano all she wanted tuwe marafiki was kawaida I forced her had I kaelewa,kumbe alifanya vile ili kuniridhisha pia tusigombane coz we were friends.besties since 2012
 
Niki force mahusiano all she wanted tuwe marafiki was kawaida I forced her had I kaelewa,kumbe alifanya vile ili kuniridhisha pia tusigombane coz we were friends.besties since 2012
it was a wrong choice !
keep trying another choice !
but is gambling..
ila ogopa pia mwanamke anaetafuta faraja baada ya kutendwa, hapo mwanaume unakua sawa na henkachifu.
 
Duuh polee, siku zote huwa nayachukulia mahusiano kama mmea. Ukinyweshewa maji na kutunzwa utamea vizuri. (Swali, nani wa kulitunza na kulinywesha maji?)

Pia mmea hutoa maua na mingine matunda, mimea mingine haitoi maua wala matunda ipo ipo tuu. Pia ipo mimea inayoshamiri na kukua bila kutunzwa iko kiporipori inategema majira asilia yaani masika kiangazi vuli na kipupwe.
Ila.... kuna mimea jua lisipotoka siku 3 linakufa, likikosa maji siku 2 hadi wiki linakufa mwingine usipo u prune..... unakuwa unaota hovyo hovyo bila mpangilio.

All in all iko siku mmea hupukutisha jani lake au ua kama sehemu ya maisha ya mmea. Hivo ukijikuta kwenye mahusiano umekuwa jani au ua na baada ya kuonekana huchangii chochote kwenye mmea na ukapukutishwa au ukaachwa wala usikonde. .... ni sehemu ya maisha ya mmea. Unaambatana na ardhi na kuwa mbolea safi, hapo lazima uonekane somebody UPYA BUT only if you see how important you are.

Sometimes I lose things I like and love in life, BUT that doesn't make me a looser....

KCK
What a wise words..thanks mpendwa maneno yako yanafariji sana and kama unaishi hivi..I bet unanguvu sana emotional... na kama sivyo una nguvu ya kuongea na wengine,kufariji..thanks mkuu
 
Nini kimetokea....
Nimegundua ana cheat na jamaa,kufatilia kumbe hawajaanza Leo,wala Jana.kumuuliza girl anasema yeah.. Umechelewa kujua..nkatengeneza mazingira aniombe msamaha,akawa hana habari..kumwambia tuachane..ikawa kama habari njema kwake..tho sikua tayari,wala kupanga tuachane..DAMN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom