Nimeachwa..

Nimeachwa..

tafuta na wewe mnyonge wako ukamtende
 
Kumbe na nyie mnaumiaga eeeh teh teh teh teh. Polee mwaya jitahidi utazoea.
 
Mbona huu mtego ulishawahi kufunguliwa thread humu ndani?,we bado unatumia mbinu hiyo hiyo mkuu au mgeni wewe?
 
Pole mkuu. Kwa sasa tuliza akili. Usiwe na haraka ya kumtafuta mbadala wake usije ukapata boya.
 
Duuh polee, siku zote huwa nayachukulia mahusiano kama mmea. Ukinyweshewa maji na kutunzwa utamea vizuri. (Swali, nani wa kulitunza na kulinywesha maji?)

Pia mmea hutoa maua na mingine matunda, mimea mingine haitoi maua wala matunda ipo ipo tuu. Pia ipo mimea inayoshamiri na kukua bila kutunzwa iko kiporipori inategema majira asilia yaani masika kiangazi vuli na kipupwe.
Ila.... kuna mimea jua lisipotoka siku 3 linakufa, likikosa maji siku 2 hadi wiki linakufa mwingine usipo u prune..... unakuwa unaota hovyo hovyo bila mpangilio.

All in all iko siku mmea hupukutisha jani lake au ua kama sehemu ya maisha ya mmea. Hivo ukijikuta kwenye mahusiano umekuwa jani au ua na baada ya kuonekana huchangii chochote kwenye mmea na ukapukutishwa au ukaachwa wala usikonde. .... ni sehemu ya maisha ya mmea. Unaambatana na ardhi na kuwa mbolea safi, hapo lazima uonekane somebody UPYA BUT only if you see how important you are.

Sometimes I lose things I like and love in life, BUT that doesn't make me a looser....

KCK
 
Pole mnooo my dear kuachwa ni kitu cha kawaida kama tulivyozoea!! But utapata mwingine usikurupuke
 
I'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
Sorry for such incident...try to stand up again.
Give yourself an ample time for rest...trying to forget this and that as the way of making up your mind.
Be calm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom