Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,306
Tupeane tips za kuishi single and happy πππNipo kwetu tyr
Nilikua na 2000 pekee. Nauli ya kumpelekea funguo then nirudi ukimbini isingetosha hapo mkuu. Kwenye sherehe nilihudhuria na rafiki yangu hivyo nilimjuza usiku huo ni nini kinaendelea na nilimuomba Basi kabla hajaenda kwake usiku ule tupite kwangu kwanza ili tugonge mlango kwanza nikiingia Basi nayy aondoke tukagonga saana lkn hakufungua ucku huo ndipo ikabidi twende wote..
Huyu bwana Kuna cku pia nilienda kwenye sherehe nikarudi saa1 lkn alinipiga akinituhum kuchelewa
Kwa hiyo ni jimbo huru sioPole, hata mimi nimeachwa.
Jimbo huru mgombea huru tume huru πππ
Jimbo huru mgombea huru tume huru
Pm utapeli mwingi mapenzi ya kweli hayajifichi fomu chukua hapa hapa nia tangaza hapa hapa ndio maana ya kuwa jimbo huru tume huru πnatangaza nia kwa kweli. PM panahusika kama ni invoice tukutane nazo huko huko PM
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
inauma sana eti mtu unataka chakula afu wa kukupa chakula hayupo inawezekana huyu bibie ashamchosha mkaka wa watu.Hakutaka umpelekee ufunguo, bali alikuwa anataka tendo; kama bado unamuhitaji, tumia wazazi kuwaunganisha
Nia imeshatangazwa hapa hapa, na fomu kama ni hapa hapa ila kampeni ni pm. Mapenzi yakishakolea ndio hayana kificho ila kuchombezana ni ya sirini huko PMPm utapeli mwingi mapenzi ya kweli hayajifichi fomu chukua hapa hapa nia tangaza hapa hapa ndio maana ya kuwa jimbo huru tume huru
Kampeni na push ups ni hapa hapa pm ni muamala tu ππNia imeshatangazwa hapa hapa, na fomu kama ni hapa hapa ila kampeni ni pm. Mapenzi yakishakolea ndio hayana kificho ila kuchombezana ni ya sirini huko PM
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hizo kampeni za hapa hapa labda kuhamia kwenye uzi wa kimasihara.Kampeni na push ups ni hapa hapa pm ni muamala tu
Asha una vituko wewePoa Baby boy mambo!!I love you mwaaaππ₯°
Nipo bby ...hakijaaribika kitu ..mdaka chozi nipo kwa ajil yakoNdio, nimepigwa chini my wang??
Dah na wewe umepigwa chini mara nyingi sana....una tatizo gani?Ndio kaka na mimi nimeachwa, nimepigwa chini