Nimeachwa tena

Hakutaka umpelekee ufunguo, bali alikuwa anataka tendo; kama bado unamuhitaji, tumia wazazi kuwaunganisha
 
una akili sana
 
Kama sababu ni hiyo jamaa yakonni kenge sana. Bado mkulima ila isijekuwa kuna visa unamfanyiaga umeficha.

Sasa na wewe kaa kimya fanya yako hasira zikiisha atakutafuta tu na wewe usipokee simu.
 
👏👏👏 Comment maridadi kabisa hii kutoka kwa "wife material". Swali moja tafadhali. Je, Binti 1 umeolewa?. Jibu lako litafanya ama niishie hapa hapa sebuleni au nipige hodi kuomba kuingia chumbani (inbox).

Waiting...........
 
Eeeeh haya mwanakulitafuta, we kung'ang, ania ule kwenye shughuli kwenu huli?
Mkijua wapenzi wenu wanawapenda kwa kuungaunga msilete mzaha.
😂😂😂 uwiii nimecheka! Kweli lakini we unajua kabisa umegundisha na gundi ya mnyaa halafu unaleta mbwembwe! Haya mambo wawaachie wapendwao.
 

Nenda kwenu
 
Asha
Asha mambo!!!
 
Pole sana jamani
 
Nilichogundua ni kuwa wewe mwenyewe hujipendi,hujitambui na tena huna maadili. Haiwezekani mwanamke unaenda kukaa kwa mwanaume bila kufuata taratibu,mnaishi kihuni huni tu. Kaa chini tafakari na usirudie huo upuuzi tena,unadharaulika kwasababu hujitambui,umejipendekeza kuishi na mwanaume bila ndoa mwisho wa siku hata haki yako utaikosa. Tena umeniudhi sana nimeficha hasira zangu jiongeze,jithamini,wewe siyo mbuzi bhana taratibu zifuatwe siyo unaishi kienyeji na mtu. Hata wewe una wazazi na pia una kwenu fateni taratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mkamilifu Ila kwenye kumpenda nilimpenda kiasi ambacho nisingeweza kwenda kwenye sherehe usiku bila kuaga yaani najitahidi kutii kwa kiwango changu sema nikwamba mwenzangu hajawahi kunikanya kuhusu labda kutoka
 
Asante kwa kunipa ukweli kaka
 
Kama sababu ni hiyo jamaa yakonni kenge sana. Bado mkulima ila isijekuwa kuna visa unamfanyiaga umeficha.

Sasa na wewe kaa kimya fanya yako hasira zikiisha atakutafuta tu na wewe usipokee simu.
Kweli labda Kuna sababu, pengine yy anatunza bila mm kujua
 
Hapo umenena. Unakuta yeye mtu wa club, bar, outings hafu wewe mtu wa ndani sana. Lazima mtapishana.
Mimi sio mpenzi wa matukio kakaangu hili naweza kushika biblia nikaapia kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…