Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,778
- 12,578
Chukua ukwaju na limau tia ktk maji weka chumvi kidogo oga .ukiachwa tena nitafute
duh dawa zetu wabongo hizi, so active
Chukua ukwaju na limau tia ktk maji weka chumvi kidogo oga .ukiachwa tena nitafute
Mkuu, hata mimi nimehisi hapa ndiyo penye tatizo, bahati mbaya mwanaume aliyekwenda jando hawezi kumwambia mwanamke anayegegedana naye kwamba unatoa harufu ya panya aliyekufa wiki moja iliyopita.Panya ni janga la kitaifa.
ndo maana sifikirii kukuacha. sipendi uumie wangu
Chukua ukwaju na limau tia ktk maji weka chumvi kidogo oga .ukiachwa tena nitafute
Mimi nashauri uchukue mapumziko halafu ujiangalie, ujifanyie tathmini.
Kwenye suala la usafi ukoje? Unajiona uko msafi vya kutosha? Manake unaweza kweli ukawa unavutia kwa sura na kimaumbile lakini ikija kwenye usafi wa mwili na kinywa, hakuna kitu. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya uzuri wa sura na maumbile na usafi wa hali ya juu wa mwili na kinywa.
Halafu, hili suala la usafi ni sensitive sana. Sijui hata unaanza anzaje kumwambia mtu kwamba aongeze usafi kwenye kitu au jambo fulani. Matokeo yake unakuta mtu anatoa tu sababu zisizo na kichwa wala miguu za kuachana na wewe lakini kumbe anakuwa kashindwa kuvumilia mazoea yako ya usafi.
Hi All,
Jamani honestly nina stress acha tu.
Nataka nitumie jioni hii online walau nipunguze mawazo mana hata ubusy wa kazi haupunguzi maumivu ya mapenzi.
Story ni nimeachwa tena, yes, ni jambo limejirudia sanaa maishani mwangu kiasi kwamba nishasali sana na ninaendelea kuomba Mungu anisaidie.
Hii ni mara ya 5 naachwa, kama kuacha mtu nimeacha only mara 1.
Am the type of woman ninayeitwa mzuri na wengi, charming, intelligent nk.
Sawa kama binadamu nina kasoro lakini naamini zinaweza vumilika, sioni kama nina anything extreme.
Umri mid 20's,elimu chuo
Kinachoniliza jmn ,nilikua na uhusiano mzuri sana kama mwaka hivi na mwanaume nnaeshindwa msahau mpaka sasa,kama baada ya miezi 6 alipunguza sana mawasiliano,nikavumilia badae nkaona nimuite tuongee anambie tatzo ni nini,
Kweli tuliongea na alisema wazi hana tatzo na mimi,yuko tu off mood so anataka tu muda ajitafakari,mhhh inaumiza lakin nilipata relief kdogo nkamwambia sawa d,ntakuwepo kwa ajili yako,yeye tangu siku hyo yuko kimyaa,hajibu msg hapokei simu nk,jibu la ukimya linaumiza jmn acha tu,
Imepita miez 4 sasa hanitafuti wala nini,mara 2 nilipata hasira sana nkamjibu vibaya nilimwambia ukimya huu ni ujinga hatuwezi endesha mahusiano hivi,
Siku hio akasema mi na yeye basi tuwe marafiki,nikishaumia sana iliniumiza zaidi lakini nkasema yatosha God knows i tried ,na mi sijamtafta zaidi ya mwezi sasa najiuguza,
Ishu ni hii trend ya kuachwa,mpaka lini,tatzo ni nini,nimechoka hii hali,
Sijawah achana na mtu kwa ugomvi mkubwa,niliemuacha once several tyms nilishamuomba msamaha if ts karma i paid the price niliachwa na wawili baada yake,wanaoniacha wanasemaga tu ur so beautiful and still young bla bla,ts not u ts me,wengine distance inavunja mahusiano bila sababu, nk...
I don't get it,tatzo langu nini hasa
Nimepoteza apetite ya mapenzi kabisa,mana naachwa najipa moyo namove on naachwa tena khahh,
Ukiniambia kupenda saivi ni jambo impossible kwangu
MY BEHAVIOUR KWNY MAHUSIANO
Jmn sijisifu but ni mtu ninaependa mwanaume mmoja in a time,sio ombaomba japo naweza omba hela nikiwa na shida like 3,4 times a year,(sijui ni mara chache au nyingi),najali,nacare,napika,nampa mapenzi ,namuuguza akiugua,namsikiliza,namheshimu,mambo ya massage na madeko yote nnayojua,siko desperate,sijawah zungumzia ndoa japo i may give some hints,inshort am a total woman n i let him be the man,
Hakuna alowahi ntajia any shortcoming nirekebishe mana huwa nauliza jmn nmekukosea nini japo niweke sawa ,wanasema hamna,pls assist nina maumivu makali kila nikiwaza nimeachika tena
Jasusi,
Jibu ni HAKUNA. Nimetumia herufi kubwa kuonyesha msisitizo. Mimi simwelewi mtu yeyeto atakayesifia hawa akina Ole naiko maana yote hayo wanayoita makosa, wataalam, wanaharakati na hata Baba yao Nyerere waliyasema wakati wanataka kuuza benki ya NBC lakini 20% percent ikawaziba masikio. Leo eti wanasema wamegundua walifanya makosa upuuzi gani huu.
Lordtical_Jnr,
Very confusing indeed. Huyu jamaa anadai kazi yao TIC ni kuvutia wawekezaji halafu anajikita kwenye kuelezea mafanikio ya uwekezaji. Hizo zingine ni kelele tulizozoea kuzisikia kila siku wakitaka kuhalalisha mafanikio hewa ya zoezi lao la ugenishaji. Kudai tu mabenki yamefanikiwa wakati huduma zake hazina msaada kwa Mtanzania kufanikiwa kwake kuna maana gani? Tunaangalia faida za ugenishaji huu kwa upande wa faida wanayotengeneza au kwa jinsi wanavyoweza msaidia Mtanzania wa kawaida?