Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

fanya jambo moja tu...jifungie chumbani lia saaaana halafu kama unapicha zake choma moto poteza kila kitu kilichokalibu yako kinachoweza kukukumbusha huyo mtu kisha move on. sema na moyo wako kwamba imetoshaaaa...

ilaa mmhh!! ni PM KWA MAELEKEZO ZAIDI..
 
duh usijitoe sana kwa wanaume, watakuumiza tu, tatizo ndugu zetu ninyi hamuwezi kabisa mkishapenda ndo hamsikii
 
Hi All,

Jamani honestly nina stress acha tu.

Nataka nitumie jioni hii online walau nipunguze mawazo mana hata ubusy wa kazi haupunguzi maumivu ya mapenzi.

Story ni nimeachwa tena, yes, ni jambo limejirudia sanaa maishani mwangu kiasi kwamba nishasali sana na ninaendelea kuomba Mungu anisaidie.

Hii ni mara ya 5 naachwa, kama kuacha mtu nimeacha only mara 1.

Am the type of woman ninayeitwa mzuri na wengi, charming, intelligent nk.

Sawa kama binadamu nina kasoro lakini naamini zinaweza vumilika, sioni kama nina anything extreme.
Umri mid 20's,elimu chuo
Kinachoniliza jmn ,nilikua na uhusiano mzuri sana kama mwaka hivi na mwanaume nnaeshindwa msahau mpaka sasa,kama baada ya miezi 6 alipunguza sana mawasiliano,nikavumilia badae nkaona nimuite tuongee anambie tatzo ni nini,
Kweli tuliongea na alisema wazi hana tatzo na mimi,yuko tu off mood so anataka tu muda ajitafakari,mhhh inaumiza lakin nilipata relief kdogo nkamwambia sawa d,ntakuwepo kwa ajili yako,yeye tangu siku hyo yuko kimyaa,hajibu msg hapokei simu nk,jibu la ukimya linaumiza jmn acha tu,
Imepita miez 4 sasa hanitafuti wala nini,mara 2 nilipata hasira sana nkamjibu vibaya nilimwambia ukimya huu ni ujinga hatuwezi endesha mahusiano hivi,
Siku hio akasema mi na yeye basi tuwe marafiki,nikishaumia sana iliniumiza zaidi lakini nkasema yatosha God knows i tried ,na mi sijamtafta zaidi ya mwezi sasa najiuguza,
Ishu ni hii trend ya kuachwa,mpaka lini,tatzo ni nini,nimechoka hii hali,
Sijawah achana na mtu kwa ugomvi mkubwa,niliemuacha once several tyms nilishamuomba msamaha if ts karma i paid the price niliachwa na wawili baada yake,wanaoniacha wanasemaga tu ur so beautiful and still young bla bla,ts not u ts me,wengine distance inavunja mahusiano bila sababu, nk...
I don't get it,tatzo langu nini hasa
Nimepoteza apetite ya mapenzi kabisa,mana naachwa najipa moyo namove on naachwa tena khahh,
Ukiniambia kupenda saivi ni jambo impossible kwangu
To be continued.....

Just thank God even if He answers against your wishes,u never know,may be ts because you are being preserved or prepared for a better tomorrow.
It's because the future is better for you than the present.
 
Kuna Hadithi moja ya Sungura na Pimbi, walikuwa safarini kuelekea kijiji cha pili na giza likawa limeingia bado safari yao haijaisha, Sungura akamwambia pimbi tuchimbe shimo tulale ili kesho tuendelee na safari. Wakachimba shimo wakalala baadaye Pimbi akasema hili shimo linanuka hebu tuchimbe lingine, wakachimba la pili wakalala Pimbi akalalamika tena kuwa shimo linanuka, wakachimba la tatu wakalala na bado Pimbi akalalamika shimo linanuka. Sungura akamwambia basi kila mtu achimbe shimo lake, kweli kila mtu akachimba shimo lake wakalala baadaye kidogo Pimbi akamuasha Sungura na kumwambia Shimo lake linanuka Sungura akamwambia BWANA SIKILIZA TATIZO SIO SHIMO ILA TATIZONI WEWE.
 
dah, dada yetu bado ana maumivu bhana
 
Hi All,

Jamani honestly nina stress acha tu.

Nataka nitumie jioni hii online walau nipunguze mawazo mana hata ubusy wa kazi haupunguzi maumivu ya mapenzi.

Story ni nimeachwa tena, yes, ni jambo limejirudia sanaa maishani mwangu kiasi kwamba nishasali sana na ninaendelea kuomba Mungu anisaidie.

Hii ni mara ya 5 naachwa, kama kuacha mtu nimeacha only mara 1.

Am the type of woman ninayeitwa mzuri na wengi, charming, intelligent nk.

Sawa kama binadamu nina kasoro lakini naamini zinaweza vumilika, sioni kama nina anything extreme.
Umri mid 20's,elimu chuo
Kinachoniliza jmn ,nilikua na uhusiano mzuri sana kama mwaka hivi na mwanaume nnaeshindwa msahau mpaka sasa,kama baada ya miezi 6 alipunguza sana mawasiliano,nikavumilia badae nkaona nimuite tuongee anambie tatzo ni nini,
Kweli tuliongea na alisema wazi hana tatzo na mimi,yuko tu off mood so anataka tu muda ajitafakari,mhhh inaumiza lakin nilipata relief kdogo nkamwambia sawa d,ntakuwepo kwa ajili yako,yeye tangu siku hyo yuko kimyaa,hajibu msg hapokei simu nk,jibu la ukimya linaumiza jmn acha tu,
Imepita miez 4 sasa hanitafuti wala nini,mara 2 nilipata hasira sana nkamjibu vibaya nilimwambia ukimya huu ni ujinga hatuwezi endesha mahusiano hivi,
Siku hio akasema mi na yeye basi tuwe marafiki,nikishaumia sana iliniumiza zaidi lakini nkasema yatosha God knows i tried ,na mi sijamtafta zaidi ya mwezi sasa najiuguza,
Ishu ni hii trend ya kuachwa,mpaka lini,tatzo ni nini,nimechoka hii hali,
Sijawah achana na mtu kwa ugomvi mkubwa,niliemuacha once several tyms nilishamuomba msamaha if ts karma i paid the price niliachwa na wawili baada yake,wanaoniacha wanasemaga tu ur so beautiful and still young bla bla,ts not u ts me,wengine distance inavunja mahusiano bila sababu, nk...
I don't get it,tatzo langu nini hasa
Nimepoteza apetite ya mapenzi kabisa,mana naachwa najipa moyo namove on naachwa tena khahh,
Ukiniambia kupenda saivi ni jambo impossible kwangu
MY BEHAVIOUR KWNY MAHUSIANO
Jmn sijisifu but ni mtu ninaependa mwanaume mmoja in a time,sio ombaomba japo naweza omba hela nikiwa na shida like 3,4 times a year,(sijui ni mara chache au nyingi),najali,nacare,napika,nampa mapenzi ,namuuguza akiugua,namsikiliza,namheshimu,mambo ya massage na madeko yote nnayojua,siko desperate,sijawah zungumzia ndoa japo i may give some hints,inshort am a total woman n i let him be the man,
Hakuna alowahi ntajia any shortcoming nirekebishe mana huwa nauliza jmn nmekukosea nini japo niweke sawa ,wanasema hamna,pls assist nina maumivu makali kila nikiwaza nimeachika tena

...forget about everything: hujapata mtu sahihi bado, kua na subira atakuja ambae atakua tayari kuwa nawe vile ulivyo.Naona wengine wanakwambia do this, do that...no, that'z all fake.!
Hakuna aliyemkamilifu kwenye hayo mambo,wote tuna weaknessess zetu,
but still tupo na wapenzi,why because we are satisfied the way we are, simple.
Usilie,usihuzunike,usifanye chochote...enjoy your life Mungu atakuletea ambae atakua tayri kuwa na wewe hivyo ulivyo.
#subira!
 
Pole sana dada ni wakati sasa wakujitafakari......labda unaingia kwenye mahusiano ukiwa unatamani sana ndoa kumbe unayemkubalia mahusiano hana huo mpango......usikate tamaa endelea kuomba Mungu siku yako ipo
 
Hi All,

Nimepoteza apetite ya mapenzi kabisa,mana naachwa najipa moyo namove on naachwa tena khahh,
Ukiniambia kupenda saivi ni jambo impossible kwangu
To be continued.....
Embu tengeneza checklist yako ya kujitathmini Wewe mwenyewe unajifikiriaje, and be Honest to yourself halafu ni tabia gani ulizonavyo unafikiri zinaweza kuwa kero kwa mtu mwingine?Na hasa kwenye mahusiano.Lakini uwe tayari kujirekebisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom