INTERGRITY
JF-Expert Member
- Jan 19, 2021
- 394
- 1,468
Mkuu, hamisha mapenzi kwenye kitimoto, kula sana kitimoto utamsahau huyo bidada,halafu unaumiaje kuachwa?sasa ulitaka asikuache ili iweje?pata nafasi ya kuwajua wanawake dunia nzima yaani, unakula unaacha, rember to play safe, jipende kumamae zako