Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

Si umroge tu arudi. Dawa zooote hizi tena huendi mbali waganga siku hixi wapo kila mtaa

elfu mbili tu.mnaenda kumkaanga makaburini Uchi usiku sasa je?

Atakuja kwa magoti piga mashine mpaka azae mapacha kumi
Halafu muache atambae na Dunia.
Mweh!..
 
Wenda yeye ndio karogwa
 
Sasa ndio unavuka kutoka kwenye uvulana na kuingia kwenye uanaume kamili....na huo ndio mtihani kamili kuelekea kwenye UANAMUME......

HAKUNA DAWA YA HAYO MAUMIVU ZAIDI YA KUVUMILIA TU.....
 
Mkuu, hamisha mapenzi kwenye kitimoto, kula sana kitimoto utamsahau huyo bidada,halafu unaumiaje kuachwa?sasa ulitaka asikuache ili iweje?pata nafasi ya kuwajua wanawake dunia nzima yaani, unakula unaacha, rember to play safe, jipende kumamae zako
hee!! Wee jamaaa!
Ale kiti moto ili anenepe nyaa??
Kifupi Humpemdi??
Sasa tako linafaida gani huko nyuma kwa mwanaume??
Halafu mbegu zitajaa pa kuzipakulia huna!! Ebu piga picha!

Ungesema ale bamia.kisamvu hapo sawa lkn.....mbraaaa!!
 
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita.

Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha.

Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope.

Napmba ushauri.
Tafuta mwengine ujaribu mana hawa viumbe hawasomeki kabsaaa
 
hee!! Wee jamaaa!
Ale kiti moto ili anenepe nyaa??
Kifupi Humpemdi??
Sasa tako linafaida gani huko nyuma kwa mwanaume??
Halafu mbegu zitajaa pa kuzipakulia huna!! Ebu piga picha!

Ungesema ale bamia.kisamvu hapo sawa lkn.....mbraaaa!!
kwa mpalange 😂 :rolleyes:
 
hee!! Wee jamaaa!
Ale kiti moto ili anenepe nyaa??
Kifupi Humpemdi??
Sasa tako linafaida gani huko nyuma kwa mwanaume??
Halafu mbegu zitajaa pa kuzipakulia huna!! Ebu piga picha!

Ungesema ale bamia.kisamvu hapo sawa lkn.....mbraaaa!!
Wamtyombe tuu sassa, kama demu hamuelewi afanye nini sassa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom