Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

Mkuu acha kulia lia, hizo sio tabia za Wanaume.. Jikaze pambana na mambo mengine na make sure umefuta mawasiano yake kabisa..

"Poleni mabishoo mnaoumizwa na mapenzi, wakati Wagumu wanadeka" alisikika Rastafari akiropoka
 
Kwani mwanamke alikuwa huyo pekee dunia yote?

Kama kuna vitu sio vya kuumiza/umizwa ni hili la kuachana na mtu mmoja kati ya watu sijui milioni ngapi ambao nao wapo single...
 
We sio wa kwanza kuachwa!
We sio wa kwanza kuumia!
Yapo mengi ya kufurahisha kwenye hii dunia!
Acha kujidhurumu,unAtuaibisha !
Sema tu usinywe sumu hah
 
Tafuta hata wa kupozea machungu bana kwani hakuna hata waliokua wanajilengesha lengesha kitambo??
 
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita.

Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha.

Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope.

Napmba ushauri.
Mwanaume huwa haachwi unakwama wapi mkuu?? unatuangusha mabaharia
 
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita.

Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha.

Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope.

Napmba ushauri.
pole ndugu haikuwa bahat yako, tenga muda fanya mazoez, sikiliza music sana , ongea na washikaj(kampan I), punguza kuhonga sana
 
Looool!! Pole weee!!! Kuuumbe hata hujui soko la vinchechuda lilipo??

Kumbe nimeamini wewe ni zigo hasa. tena la vima!! Bora huyo mdada akajipumzikiege!!!
veepe wew mnyalu MZUNGUKO umepitiliza au... sio kwa shombo hiloo kah!!

IMG-20161024-WA0008.jpg
 
veepe wew mnyalu MZUNGUKO umepitiliza au... sio kwa shombo hiloo kah!!

View attachment 1819193
mkuu mie ni Mzulu hata chiswaili sijui bhizuri.

Nilizani ni kare kajamaa kareta mada pevu. Tatizo yaani mnafanana sana kwa kimo mkuu am really sorry!!

Sijui kameenda kuramba ulabu kwanza. kazembe zembe mno kare ka jamaa!!.angalia sasa kametelekeza mada mezani.
Ki hivi Mke asiondoke kweli??
 
mnyalu mzulu wote sawa tu.
ok sawa tuanzie hapa leo ya ngapi au ndo unamalizia mana zikifika siku za kukauka huwaga kuna katabia flan kanaibuka ukimaliza tu kanapotea 🙄 🙄😂
 
si sawa mkuu!! huyu yuko! South huyu yuko east africa!!

Umekosea zinakaushwa na nini sasa mkuu!! Au ....
Katabia hakajulikani kwa Mwenye nako.....
Bali wa nje ndo hujua.....magu hakujua kuwa ni mrafi wa madaraka....yakamuua!! Richa ya kumpa maono .
bashitee aaaah!! Aliponywa na watu.
 
kwanza nime experience kwa shori wangu ndo mana nimekuuliza na sasa nimekuelewa majibu yako yametosha kujua mzunguko wako uko kwenye hali ipi.
hujui hata kama huwa zikikutoka huwa zinakauka hujui dah majanga. uwe unajipima kwa 👆 🙄 utajua zipo au zimikwenda.
 
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita.

Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha.

Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope.

Napmba ushauri.

Pole sana kaka make sure unapoanza mahusiano mengine jaribu kua na mwanamke zaid ya mmoja itakusaidia sana hiyo kitu maana hata shambani sio kila mbegu zinazopandwa huota zote imagine kama ingekua shamba la heka 1 unapanda mbegu moja tu ya mpunga na isiote huoni hasara yake hapo ila pole sana mtu unajifunza kutokana na makosa
 
kwanza nime experience kwa shori wangu ndo mana nimekuuliza na sasa nimekuelewa majibu yako yametosha kujua mzunguko wako uko kwenye hali ipi.
hujui hata kama huwa zikikutoka huwa zinakauka hujui dah majanga. uwe unajipima kwa 👆 🙄 utajua zipo au zimikwenda.
Hayo ni matumizi Mabaya ya vidole vyako Mkuu....kumbe huwa unafanya hivi kwa kupima nyaa Maalimu???!!
Daa aibu sana.

Najua kuwa wajua "Mtu hujulikana kwa Matendo yake"! Pengine akiwa sirini.... Sitaki kujua ushoga unaanzaje ila ni aibu.
 
hahahahaaaa naona mzunguko unakaribia kukaa sawa dadangu.. polepole tu utarudi kwenye hali ya kawaida
 
Back
Top Bottom