Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,154
HapanaHajakuachia chata yake??
Namaanisha mtoto
Naomba kazi ya kuuza vinywaji vya vilevi?Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.
Ninatamani aje some maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.
Pamoja na yote Mungu zaidi kukubsriki.
Hii hata yeye hajasema iSababu ya kukuacha ni nini?
Pole sana..ungempa zawad ya mtotoHapana
Hili lilikuwa kwenye mjadala lakini alinikuta chokaz mbaya sanaPole sana..ungempa zawad ya mtoto
HapanaHajakuachia na bacteria or virus?
Hana mke labda awe amoa sasa. Nilikuwa na uwezo wa kukaa kwake hata wiki mbiliAlikuwa mume wa mtu;si ndio tuko hivyo tuna huruma sana
Usijali nitakuja kukuona na wewe mwenyeweHuyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.
Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.
Pamoja na yote Mungu zaidi kukubsriki.
Inawezekana mkewe yuko sehemu nyingine;ukitaka kuthibitisha hilo nenda pale ulipokuwa unakaa naye wiki nadhani majibu utapata;nasema hivyo kwa sababu hata mimi kuna sehemu nilishakaa zaidi ya mwaka mbali na mke,na wengine wakajua sijaoa.Hana mke labda awe amoa sasa. Nilikuwa na uwezo wa kukaa kwake hata wiki mbili
Hilo nina uhakika nalo, hana mke.Inawezekana mkewe yuko sehemu nyingine;ukitaka kuthibitisha hilo nenda pale ulipokuwa unakaa naye wiki nadhani majibu utapata;nasema hivyo kwa sababu hata mimi kuna sehemu nilishakaa zaidi ya mwaka mbali na mke,na wengine wakajua sijaoa.
Mtafute umuulize kwa nini kimya...wakati ulishamkabizi moyo wako(kimahusiano)Hilo nina uhakika nalo, hana mke.