Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
1,017
2,154
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
 
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje some maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu zaidi kukubsriki.
Naomba kazi ya kuuza vinywaji vya vilevi?
 
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu zaidi kukubsriki.
Usijali nitakuja kukuona na wewe mwenyewe
 
Inawezekana mkewe yuko sehemu nyingine;ukitaka kuthibitisha hilo nenda pale ulipokuwa unakaa naye wiki nadhani majibu utapata;nasema hivyo kwa sababu hata mimi kuna sehemu nilishakaa zaidi ya mwaka mbali na mke,na wengine wakajua sijaoa.
Hilo nina uhakika nalo, hana mke.
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom