Nimeachwa na mke, kwa sababu sina hela

Nimeachwa na mke, kwa sababu sina hela

Duniani kitu Fweza ndio mpango mzima.
Nawasalim,
Moyo unasononeka sijapata wakunifariji,ila naamini humu kuna watu wana mioyo ya upendo.
Nawakaribisha sana.Natamani siku moja nipate mwanamke atakae nipenda mimi kama mimi nikiwa na umasikini wangu huu.
 
Tafuta hela acha kulalama mkuu! Hivi huoni diamond anavobadilisha watoto wa level ya Distinction au A class na wanampenda balaaa akiwaacha full michozi lakini kipindi hio anauza mitumba hata vi chenchede au viswaswadu vya mtaani vilikua vinampita hiviiii!!😊
Maisha tunatofautiana hatuwezi tukawa wote matajiri,maskini/makabwela si tupo tu hatuwezi kukosekana.
 
Usiamin hivo, mwanamke n kiumbe
kingine!

Kuna kajamaa kauza urembo tu kalianza kudate na mke wa mfanya biashara mkubwa tu hapa mjini.

Huwezi jua mwanamke anahtaji nini kwako. Kimubwa n kuomba Mungu umpate alie sahihi kwako.
Mungu mbele.
 
Nawasalim,
Moyo unasononeka sijapata wakunifariji,ila naamini humu kuna watu wana mioyo ya upendo.
Nawakaribisha sana.Natamani siku moja nipate mwanamke atakae nipenda mimi kama mimi nikiwa na umasikini wangu huu.
NA HAO MASIKINI PIA WANA MALENGO YAO; ATASEMA ANAKUPENDA LEO ILA KESHO ATAKUULIZA HAYA YATAISHA LINI?
 
Back
Top Bottom