Ntakuombea
Nawasalim,
Moyo unasononeka sijapata wakunifariji,ila naamini humu kuna watu wana mioyo ya upendo.
Nawakaribisha sana.Natamani siku moja nipate mwanamke atakae nipenda mimi kama mimi nikiwa na umasikini wangu huu.

ha ha ha haMkuu umeachwa kwa sababu huna hela.....
Badala ya kutafuta hela unatafuta demu mwingine.....
ha ha ha haUkiwa maskini utampa nini mkeo zaidi ya mimba?
Wengi wanatafuta pa kupumzikia....mapenzi yaliisha kwa adamu na hawaMkuu kumbe mapenzi bila hela hayaendi,nimeamini..
Nawasalim,
Moyo unasononeka sijapata wakunifariji,ila naamini humu kuna watu wana mioyo ya upendo.
Nawakaribisha sana.Natamani siku moja nipate mwanamke atakae nipenda mimi kama mimi nikiwa na umasikini wangu huu.
Asanteee,mwambie huyoIli uheshimike na kupendwa hapa duniani, hakikisha unamiliki vitu viwili tu muhimu; Madaraka au pesa!
Ukioa kuachana hairuhusiwi?usikubali izi shauli za kuwa utafute pesa kwanza ndio upendwe na mwanamke kwa sababu ukioa aliekupndea pesa ipo siku atakuzoea na kukuon wakawaida tu coz anakuwa kashazoea hela zako atanza kukuletea mazarau wew mwisho wa siku ndoa inakuwa ndoano.
utaanza kuja jukwaani umu tena kupmba ushauri mke wako kabadilika.
Usiamin hivo, mwanamke n kiumbeMkuu kumbe mapenzi bila hela hayaendi,nimeamini..